makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Hii ni kwa mujibu wa nani?Wanakuambia ukishaona shortlisted uwe unapitia pitia placement mbali mbali
Kwny Ile Pdf Ya Tra Iliyotokaa Ya watu 1200+Ulifanya Usaili Na Unauhakika Ulifanya Vizuri Kwnye Huo Usaili.
Maan Ukitoka kwny Usaili N muhimu Kufanya Marejeo Mwenyew Je Ulikuwa Right au Wrong Kiac Gani.
All in All Kuwa Right Zaidi Haikupi Uhakika wa Kuwa kwny Pdf Ya Placement maan kuna factor nyingine watazingatia kwny kutoa pdf.
Ila Hakikisha Unatembelea na Kuangalia Kila Tangazo La Kuitwa kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma.
Hii comment imenipa nguvu sana Kwa kweli kama itakua kweli basi itakua vizuri sana imenifrahisha sana hii commentJipange Kabla Ya J3 Ya Kwanza Ya December Utapewa maelekezo Lini Unazee kibarua cha utumishi.Inshort mwezi wa 12 Mnanzaa kazi Wenye Barua mkononi.
Kaa Kimasta MkuuHii comment imenipa nguvu sana Kwa kweli kama itakua kweli basi itakua vizuri sana imenifrahisha sana hii comment
Hahahaha nikipangwa karibu na nilipo sion shida kutoa laki mbili kuhamisha vitu mkuu🤣🤣🤣Ndugu muwakilishi wa mikando tunashkuru,ngoja meck pro amrithishe kabisa vitu vyake yule mdada aliempigaga taff Sasa uhakika ushapatikana aandae suti zake za kazi
Ngoja nikae tayari hapaKaa Kimasta Mkuu
Hii comment imenipa nguvu sana Kwa kweli kama itakua kweli basi itakua vizuri sana imenifrahisha sana hii comment
Ngoja utafaulu tu hiyo oral ndo utajua Sasa mchecheto umeutoa wapi🤣 utatusumbua sana hapaYani ingekua mm ndo nmefaulu oral hata nsingekua na mchecheto wa kusubria barua,mradi najua kitu uhakika nachill tu nakula good time za mwisho mwisho kabla sjaingia mzgon
Mkuu ebu naomba uelewe hivi.Watakuwekaje kwenye placement through kanzidata bila kukupigia simu na muda mrefu unakua umepita? Utajuaje Kama umo?
Kupigiwa simu labda endapo unahitajika kazini kwa haraka na mwajiri wakoMimi kuna jamaa yangu mmoja alipigiwa simu akachukue barua, ilikaa km week hivi ikaja PDF yumo kanzidata hiyo maana post za kuitwa kazn waliitwa mwez 7 yeye alipigiwa mwez9 kutoka database. Sasa sijajua huenda ikawa ndio utaratibu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa muongozo mh mkandaji[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ulifanya Usaili Na Unauhakika Ulifanya Vizuri Kwnye Huo Usaili.
Maan Ukitoka kwny Usaili N muhimu Kufanya Marejeo Mwenyew Je Ulikuwa Right au Wrong Kiac Gani.
All in All Kuwa Right Zaidi Haikupi Uhakika wa Kuwa kwny Pdf Ya Placement maan kuna factor nyingine watazingatia kwny kutoa pdf.
Ila Hakikisha Unatembelea na Kuangalia Kila Tangazo La Kuitwa kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma.
Mzee uwepo wako hapa katika uzi huu unazalisha matumaini makubwa sana kwa wasaka asali barikiwa sana tena mnoKwny Ile Pdf Ya Tra Iliyotokaa Ya watu 1200+
Kuna Mwamba Alifany Usaili Taasis X Baada ya Kuona Wanaohitajika Wameitw kazini Akawa Anafocus na Job Vacant Tyu Maan Aliamini Placement ndo Bhac amekosa.
Mimi Niliona jina Lake Lilikuwa chini kabis na Taasis Tofauti,Nikasem bado mapema nitampigia Simu Baad ya Siku Kadhaa Nimpe Hongera Na Maongez Mengine.
Nampigia Simu Siku Kama ya Leo Yeye Yupo Moshi Hana habari. Na Keshokutwa ndo mwisho wa Kuchukua Barua.
Alishukuru Sanaa Maan Alikuwa Hajui Chochote khs kuitwa kazini.
Yupo kazini Alianza May 2022.
Mwenye kamusi jamaniALAFU wizy MIMI SIPO MUUB AISEE UMESABABISHA NIMEBADILI ID MARA 2.
TOKA NIMEINGIA JF. KWA SABABU YA UTAFITI WAKO ETI YULE JAMAA WA
TUISHI KWA KUPEANA ELIMU NA SAME DETAILS.
TUKIANZA KUWA TAGGED YULE JAMAA WA N NOMA.
MSELA ASILI YAKE NOMA ILA KWENYE NOMA MSELA HAKAI...!!
Aisee huyu jamaa Ni noma Kama huyo anayemuogopa [emoji38]Mwenye kamusi jamani