Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
Kuna watu wapo teyari serikalini kwa internal temporary contracts ila tu wanaomba tu huko utumishi kupata permanent contracts kua on the safe side(security)...so huwezi sema huyo mtu ana njaa akati anachoenda kukipata via utumishi(financially) ni kile kile anachokipata sasa.Unaomba kazi ya nn huna njaa Kwamba????
Ningekua ni Mimi ningeunga Unga usiku huu asubuh Niko domHaha..wameniita oral kesho now nipo Dar napiga lagerr hahaha
The same kwa watu wa private.Unaomba kazi ya nn huna njaa Kwamba????
Huyu aende usiku huu, huu uzi baadaye ua wa madoniNingekua ni Mimi ningeunga Unga usiku huu asubuh Niko dom
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu aende usiku huu, huu uzi baadaye ua wa madoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Then badae tunalalamika utumishi hawatangazi Ajira unaenda Fanya interview hausubili matokeo unarudi dar kumbe ndo ilikua nafasi Yako JINA lako mie nalimark mkuu siku nikikuona unalalamika hapa patachimbika aisee we ngoja tu[emoji34]
cutting pointWazeee izi status kweli sio issue ya kuumiza kichwa.
Kwenye website niko "selected for oral"
Kwenye app niko "selected for null"
Hii ngoma inachanganya.
Oral ni tarehe 29 jnne
Ukifanya oral ndo itabadilika baada ya siku kadhaaWazeee izi status kweli sio issue ya kuumiza kichwa.
Kwenye website niko "selected for oral"
Kwenye app niko "selected for null"
Hii ngoma inachanganya.
Oral ni tarehe 29 jnne
Njaa hiyo mkuu unaomba kazi ya nn na una Hela Ukiona unaomba kazi ujue Hela Yako haikutoshiKuna watu wapo teyari serikalini kwa internal temporary contracts ila tu wanaomba tu huko utumishi kupata permanent contracts kua on the safe side(security)...so huwezi sema huyo mtu ana njaa akati anachoenda kukipata via utumishi(financially) ni kile kile anachokipata sasa.
True,uwe una kazi au huna..uliomba kazi nyingine kwa sababu yoyote Ile either kuongezea mshahara,kubadili kada mazingira nk. Maana yake hyo kazi una shida nayoNjaa hiyo mkuu unaomba kazi ya nn na una Hela Ukiona unaomba kazi ujue Hela Yako haikutoshi
Me leo ndo nimejiunga kwenye app yao.mara nyingi natumoa via website.so kama website imesema niende kwa oral basi naiamini mana zote niendazo natumia websiteNi mistake tuu
Ww pay attention na cu
cutting point
Basi kwenye system zao kuna mmoja anamtegea mwenzie.Ukifanya oral ndo itabadilika baada ya siku kadhaa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sijakusoma hapo mkuu, inamana oral unafanya tarehe 29 this november au ?!!Wazeee izi status kweli sio issue ya kuumiza kichwa.
Kwenye website niko "selected for oral"
Kwenye app niko "selected for null"
Hii ngoma inachanganya.
Oral ni tarehe 29 jnne
Yes this November.Sijakusoma hapo mkuu, inamana oral unafanya tarehe 29 this november au ?!!
Fuata website mzee hiyo app ina errors nyingYes this November.
Nafanya oral 29/11/2022.
Lkn website na app kuna utofauti.
App hainiambii nimeitwa kufanya nini.
Ila website imesema nije kwenye oral
Kwmba isipobadilika ndo umekandwa?Ukifanya oral ndo itabadilika baada ya siku kadhaa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
AIONE senior wizyFuata website mzee hiyo app ina errors nying
Kwa nn usichague moja tu alafu uinvest kwenye hio tu...naona kama kutaka kufanya zote mambo yatakua mengi kwa mtazamo wangu.Asanteni wakuu kwa ushauri ngoja nisomee zote kesho nitege nyavu sehemu zote