Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
Kuna watu wapo teyari serikalini kwa internal temporary contracts ila tu wanaomba tu huko utumishi kupata permanent contracts kua on the safe side(security)...so huwezi sema huyo mtu ana njaa akati anachoenda kukipata via utumishi(financially) ni kile kile anachokipata sasa.Unaomba kazi ya nn huna njaa Kwamba????