Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
DuhSail zangu zote nimeenda dom night (moja ilikuwa saa 5 usiku na nyingine ilikuwa saa 6) usiku ndio natoka Dar then saa 12 asbh niko dom nimefanya hivyo zaidi ya mara moja (moja kati ya hizo ilikuwa kipindi shule zinafungua mwezi wa tisa usafiri ulikuwa wa shida balaaa pale ubungo kibo) nilichofanya nilitafuta gari ya moro chap nikatinga moro then moro kwenda dom huwa 24Hrs gari za private zipo ni wewe tu na 15k-20k kulingana na hali ya usafiri
Hadi now ninavyo andika Nipo kwenye gar now usiku huu napambana saa 7 kasoro (Napenda kusafir usiku)
Ninazo mkuu,, Sema idadi ndogo ya wanaotakiwa imeniangusha.. Just imagine mtu una 75 then unaachwa.. but Kuna kitu nimejifunza hapa ntapambana ijayo..Daah, pole mkuu.
Bado una received yeyote?
Wahi mapema uwaelezeMi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.
Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
Hongera sana, kuhusu hilo la kupewa kipaombele, 100% watakupa kipaombele, wako fair sana linapokuja suala la "situations".Mi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.
Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
Hongera,wanakupa waambie tu utaingia wa kwanzaMi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.
Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
Ila siku nyingine kama haina ulazima sana wa kusafiri usiku kwa ajili ya usaili ni Bora uwahi,maana njiani changamoto ni nyingi mambo hayatabiriki usije ukakosa saili kizembe na pengine hata chance ya kufaulu ni kubwaSail zangu zote nimeenda dom night (moja ilikuwa saa 5 usiku na nyingine ilikuwa saa 6) usiku ndio natoka Dar then saa 12 asbh niko dom nimefanya hivyo zaidi ya mara moja (moja kati ya hizo ilikuwa kipindi shule zinafungua mwezi wa tisa usafiri ulikuwa wa shida balaaa pale ubungo kibo) nilichofanya nilitafuta gari ya moro chap nikatinga moro then moro kwenda dom huwa 24Hrs gari za private zipo ni wewe tu na 15k-20k kulingana na hali ya usafiri
Hadi now ninavyo andika Nipo kwenye gar now usiku huu napambana saa 7 kasoro (Napenda kusafir usiku)
Kwa nn usichague moja tu alafu uinvest kwenye hio tu...naona kama kutaka kufanya zote mambo yatakua mengi kwa mtazamo wangu.
Hapana apige zote, interview ua ina maswali yale common yatambeba sana pia ile interview atakayoichagua ya kwanza apige msuli haswa, ile nyingine atasoma baadaye wakati wengine wanaendelea kukandwa, hapa asiangalie mtu usoni!Kwa nn usichague moja tu alafu uinvest kwenye hio tu...naona kama kutaka kufanya zote mambo yatakua mengi kwa mtazamo wangu.
Yap,yapWaliitwa moja kwa moja kazini?
Huyo anaongelea kazi za wizara ya ardhi za muda mfupi miezi 4 kwenye permanent hiii kitu hakipo,uokote embe kwenye dodo kama ualimu na afya😂😂Waliitwa moja kwa moja kazini?
Hongera mkuu,wakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Ashapata kazi huyo na ni mwanamke ndo kbsaaaHongera sana, kuhusu hilo la kupewa kipaombele, 100% watakupa kipaombele, wako fair sana linapokuja suala la "situations".
Ikawe heri kwako.
Zama za wanawake hizi hiyo ni agenda inayopewa kipaumbele sana sasa hivi wanaume tukae kwa kutulia tuAshapata kazi huyo na ni mwanamke ndo kbsaaa
Hongera sana,Mi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.
Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
Sawa mkuu, mapambano yaendeleeNinazo mkuu,, Sema idadi ndogo ya wanaotakiwa imeniangusha.. Just imagine mtu una 75 then unaachwa.. but Kuna kitu nimejifunza hapa ntapambana ijayo..
Ndio, tena na mwanao hapo uwe na msaidizi pembeni, watakuita fasta ukamalizane naoMi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.
Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
May bHongera sana,
Mara nyingi kuna magroup huwa yanapewa kipaumbele ikiwepo walemavu, wajawazito na wenye watoto wadogo au wanaonyonyesha.
Wewe fika mapema ukifa na mtu wa kumtazama mtoto na pia washirikishe jambo hilo utapewa kipaumbele kuingia kwenye usaili.
Uliitwa oral moja kwa moja?
Ndio nilifanya oralUlifanya oral?