[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bado hujasahau tu hiliHahaha! Nataka mkuu ila nilishtuka namna ukarimu wako ulipanga kwa kasi sana tena ghafla.
Hata hivyo picha wanazoweka kwenye Avatar zisikuchanganye ukauohonga ukarimu wako bure mwishoni kumbe ni mwanaume.
Mpaka leo nikifikiria kumbe Mkuu moneytalk ni mwanaume nguvu zinaisha. Natamani siku moja, aje atengue kauli na kusema alikuwa anatutania.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepiga sana pale na kwa ngaiza ilikuwa ukinitingisha tu nakushushia kitini chote na page swali lilipo hahhhh
ukipata unishikie na mimiWazeee nielekezeni guest za 10k karibu na UDOM jmos nina jambo langu
nitengue au nisitengue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Written yangu ya kwanza ilikuwa nono kiaina, na ndio iliyohudhuriwa na watu wengi. Halafu nilikandwa hatari[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka umeshajiandaa kwa kiasi fulanihaya jaman wapendwa katika bwanaa,tunaokutana tarehe 3 kwenye mkando tupeane michongo
mkuu hata mimi kuna mtu nimefall kwakeHahaha! Acha kabisa Mkuu, yani Jf kila kitu mtu anaweza akakifanya feki, kuanzia jina mpaka picha ila cha ajabu kuna watu wana fall in love hivyo hivyo.
Sasa unajiuliza huyu hasa amekuwa amependa nini?
Kibaya zaidi mwisho wa picha anakuja gundua kumbe ni mwanaume mwenzie, uwekezaji wake unaishia hapo.
For your own risk lakini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nitengue au nisitengue
akikujibu uniambie nami nifike oralIla wizy inabidi tuongee vizuri, haiwezekani kila usaili wewe unafanikiwa kufika mpaka Oral, hebu tupe siri Mkuu.
Maana Mdogo wangu pamoja na kumuamini yuko smart sana lakini mpaka sasa ameenda interview mbili na zote ameanguka vibaya sana.
MmhKila mtu na bahati yake bro ,uliposoma ndo ndo pamekubeba au vp
ungemzabua hata kofi manina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa kilichoniuma yani nikamwambia mwanangu vipi aseeh ,akanijibu aah tupo tu tunahangaika hapa
Nikajisemea huyu anahangaika nini ikiwa mimi nimekuja kukandwa nayeye ndo anasimamia
kiasi chache,mungu anitangulieBila shaka umeshajiandaa kwa kiasi fulani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]For your own risk lakini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maandalizi tu kabla ya hizi nilifeli huko mwanzo nikajifunza kitu
ππππOya migonge makofi sindo ningekandwa kabla sijafanyaungemzabua hata kofi manina
Kwenye hii issue ya Shortlisted au Selected for oral binafsi nasimama na ndugu yangu wizy.Kuna jaama alipata pale haikuandika shortlisted ilibaki selected for oral kwahiyo nikaconclude zile za vyuo huwa hazifati hatua zote kama za utumishi
Kila mtu na bahati yake bro ,uliposoma ndo ndo pamekubeba au vp
sema kwa Sasa asome sana ya class mitihani ya juzi imebase darasani kabisaaaa Yani ndani sanaHahaha! Sawa Mkuu.
Sawa, endelea kukazakiasi chache,mungu anitangulie