Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahaha! Nataka mkuu ila nilishtuka namna ukarimu wako ulipanga kwa kasi sana tena ghafla.

Hata hivyo picha wanazoweka kwenye Avatar zisikuchanganye ukauohonga ukarimu wako bure mwishoni kumbe ni mwanaume.

Mpaka leo nikifikiria kumbe Mkuu moneytalk ni mwanaume nguvu zinaisha. Natamani siku moja, aje atengue kauli na kusema alikuwa anatutania.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bado hujasahau tu hili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepiga sana pale na kwa ngaiza ilikuwa ukinitingisha tu nakushushia kitini chote na page swali lilipo hahhhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mgote nimepiga Heat, Wave na Electronics ndiye aliyenifanya niipende Phyz ya Advance na ndio somo lililoniinua pamoja na Chemia, Bios nilikuwa Ihefu.
 
Hahaha! Acha kabisa Mkuu, yani Jf kila kitu mtu anaweza akakifanya feki, kuanzia jina mpaka picha ila cha ajabu kuna watu wana fall in love hivyo hivyo.

Sasa unajiuliza huyu hasa amekuwa amependa nini?

Kibaya zaidi mwisho wa picha anakuja gundua kumbe ni mwanaume mwenzie, uwekezaji wake unaishia hapo.
mkuu hata mimi kuna mtu nimefall kwake
 
Kuna jaama alipata pale haikuandika shortlisted ilibaki selected for oral kwahiyo nikaconclude zile za vyuo huwa hazifati hatua zote kama za utumishi
Kwenye hii issue ya Shortlisted au Selected for oral binafsi nasimama na ndugu yangu wizy.

Huyu jamaa 👆👆👆 hii issue alishaifanyia case study kabisa na anakuwa na mifano ya kutosha ya watu waliofanikiwa na kukosa.

Salute bro👊🏾👊🏾💯
 
Back
Top Bottom