Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wa sayansi ndo abase zaidi darasani
Lakini hawa wa biashara asome na ya nje Yale ambayo ni common tu ,nafikiri huwa yanahitaji ufatiliaji wa taarifa na habari zilivyo pia kupitia zile bajeti au taarifa za wizara mbali mbali inasaidia sana hiyo

Asante sana Mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh jana nimepiga Bavaria kwa hasira sana akiweka tatu mezani namwambia njoo na zingine hahhh

Hahaha! Hongera sana Mkuu, wewe ni jobless ambaye ulipofikia ujobless unaweza ukaufokea na usikufanye kitu.

Kuna wengine ni majobless ambao ujobless umewazidi nguvu kiasi kwamba unawaendesha.
 
Kwa hiyo mkuu huwa unahesabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila tatizo ajira zao nyingi ni watu wa certificate na diploma,wqnachukua kidogo sana degree mwakq mzima unaweza usikute post ya degree
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]dharau hizo na ofisi za watu na bado unashida

Hahaha! Sasa Mkuu, nimeenda kutafuta kazi ili nitatue matatizo yangu halafu nakuta walioajiriwa bado wana matatizo kama ninayoyapitia, sasa hapo umuhimu wa kazi unakuwa haupo tena.
 
Umetusaidia mkuu
Na vipi presentation inaishia kwenye karatasi tu au mnahamishia kwenye powet point?
 
Mkuu kila la kheri, Mungu awe upande wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…