Hunter621
Senior Member
- Jul 20, 2016
- 161
- 458
ila ww ndo imkumaliza kbsa mshua😃😃Sema mkuu wewe ni manzi aseeh sio mjuba nathibitisha kwa herufi kubwa hata ukibisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila ww ndo imkumaliza kbsa mshua😃😃Sema mkuu wewe ni manzi aseeh sio mjuba nathibitisha kwa herufi kubwa hata ukibisha
😂😂😂😂Kwani jobless hatakiwi kupata utelezi??ila ww ndo imkumaliza kbsa mshua😃😃
Huenda mambo yakawa sawangoja tuvute subira kama Ahmet anavyosema
Mwezi huu zinatoka kama sio jmosi basi tare13Huenda mambo yakawa sawa
Usiseme hivyo mkuu, ha ha ha, nipe japo tumaini...mimi nilipiga October na natarajia mambo yajipe hii hii disemba...niingie pale Asharose kuchukua barua.😂😂😂😂January ni za mwezi October lakini za Sept zinatoka mwezi huu na za November hizo sasa tusahau
Usiku magari uhakika?Safiri usku mzee ukaegeshe stand pale pako poa asbh unaamkia uwanja wa mkando
Subiri January Kaka😂😂😂😂Usiseme hivyo mkuu, ha ha ha, nipe japo tumaini...mimi nilipiga October na natarajia mambo yajipe hii hii disemba...niingie pale Asharose kuchukua barua.
Wa sayansi ndo abase zaidi darasani
Lakini hawa wa biashara asome na ya nje Yale ambayo ni common tu ,nafikiri huwa yanahitaji ufatiliaji wa taarifa na habari zilivyo pia kupitia zile bajeti au taarifa za wizara mbali mbali inasaidia sana hiyo
hahahaa sema kibarua mwenzangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh mfanyakazi ninapotafutia hela
kizibiti unachoSema mkuu wewe ni manzi aseeh sio mjuba nathibitisha kwa herufi kubwa hata ukibisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh jana nimepiga Bavaria kwa hasira sana akiweka tatu mezani namwambia njoo na zingine hahhh
hata mimi nimeona hicho ndo kinamfanya aamini hivyoila ww ndo imkumaliza kbsa mshua[emoji2][emoji2]
😂😂😂😂Umeamua kunidhalilisha hahhhhahahaa sema kibarua mwenzangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka kulipwa 200k afu unafanya kazi ya 2mil ni utumwa kaka
Kwa hiyo mkuu huwa unahesabu 😂😂😂😂 ila tatizo ajira zao nyingi ni watu wa certificate na diploma,wqnachukua kidogo sana degree mwakq mzima unaweza usikute post ya degreeWanamwaga kazi tu huko mkuu mpaka zifike 500+ now washa toa Ajira ya watu 150 mama kamwaga mabilioni mengi sana nipo kila siku natafta njia ya kuishii nayo hata 20millin hivi nitakua najependekeza kwa wakurungenzi na wakuu wa idara 🤣🤣🤣🤣
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]dharau hizo na ofisi za watu na bado unashida
Sema mkuu wewe ni manzi aseeh sio mjuba nathibitisha kwa herufi kubwa hata ukibisha
Umetusaidia mkuuHapana ndugu yangu mie ni kama wewe tu natafuta mrija. Kuna usaili nilibahatika kufika oral baada ya kukaguliwa vyeti tukapewa muda wa saa moja kuandaa presentetion ya mada yoyote unayoijua...tukapelekwa kwenye chumba ili kuandaa wakatupatia karatasi tukaanza kuanzika sasa wakati natafuta kitu cha kukandamizia ndio nikaona hizo karatasi za wakandaji zinaonyesha mwongo huo ila azikuwa naasawali ila wamendika tu part A kuandaa na kuwasilisha mada (alama 60) sehemu B maswali mengine kwa ujumla (alama 40) na hizo karatasi zilizoandikwa hizo hazikufichwa zilikuwa wazi tu hivyo sio kama ni siri maana ingekuwa siri wasingeweka kwenye meza (sehemu ya wazi) maana mule ndani walituacha wenyewe tu tuandae hizo mada baada ya saa1 ndio wakaja wakakusanya zen wakatutoa wakaanza kuita mmoja mmoja kuanza mikando kutokana na kile ulichokiandaa. So leo nimeona niwajuze tu ili atakayebahatika kuitwa kwenye usaili wa kada za kufundisha muongozo ndio huo yaani maksi nyingi zipo kwenye kuandaa na kuwasilisha ulichokiandaa
Mkuu kila la kheri, Mungu awe upande wakoWazee mniombee namimi kwa mara ya kwanza ntakua udom kupiga pepa la utumishi .
Na itakua mara ya pili kufanya pepa za utumishi tuombeane pepa ya kwanza niliishia written hi hapa target yangu kufika oral tuombeane japo mpaka sasa sijapata nauli na sijui pakufikia na udom sipajui wakuu.