Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mzee imetoka selected for oral,ikaenda shortlisted tupu.leo imerudi selected for oral tena.

Bado nisubirie matumaini?

Haya ngoja tujipe moyo
Bro kwan ww unajua aliepata status inakuaje??
Mie kuna rafiki angu ana mwezi kazini ,stuts yake inasoma selected for oral ,ukimuuliza hbr za shortlisted yy anasema hajawahi ona ,,Cha msingi subria pdf ukiona haupo basi lkn hawezi jua Upo kanzidata au vp ,,usije changanyikiwa kwa sababu ya status [emoji3][emoji23][emoji23] ,,

Haya mambo ya status prsp ndo wanajua ukweli,,inaweza kuwa SHORTLISTED halaf matokeo yakatoka hola ,inaweza kuwa selected for oral,, matokeo yakatoka umetoboa
 
😂😂😂😂😂Anachanganyikiwa na status kijana wetu hahhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambacho huwa nachukia yani boss ni mdgo kama Mimi halafu anataka nimnynyekee mamaeeee afu hela ananilipa ya mboga tu

Hahaha! Mkuu, nyie watu nawaogopa sana, kama ni inshu inayohusiana na mionzi angalia usije ukamchoma boss wako na mionzi kwa hasira.
 
Back
Top Bottom