Kuwa mpole pdf inatoka sio mudaJamani kwangu imebadilika kutoka shortlisted hadi selected for oral.. jamani sio mkando huu😨😨
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mpole pdf inatoka sio mudaJamani kwangu imebadilika kutoka shortlisted hadi selected for oral.. jamani sio mkando huu😨😨
Acha tuoneKuwa mpole pdf inatoka sio muda
😂😂😂😂Acha tuone
Usioghope kaka,Jamani kwangu imebadilika kutoka shortlisted hadi selected for oral.. jamani sio mkando huu😨😨
IAEUsioghope kaka,
Ulifanya usaili taasisi gani mkuu.
😂😂😂Kuwa mpole kaka jiandae kufata baria jtatu
sijakudhalilisha bana,nimesema ukwel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeamua kunidhalilisha hahhh
hahahaa kumbe nawe umeona hilo,sasa hivi anahangaika na prokHahaha! Nimekuwahi na nimekupambania sana bila kukata tamaa. Sio kama wizy, ulisema tu ni mwanaume, hata LIKE hakupi tena, yani hana habari na wewe kabisa (namchafua kidogo ili ujiko ubaki kwangu).
😂😂😂😂 Hahhhhh sawa sawasijakudhalilisha bana,nimesema ukwel
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daahYani kuna muda anaandika statements katika namna ambayo mwanaume hata ashikiwa bunduki hakubali kuandika.
😂😂😂😂 Jobless nasemwa vibaya sana aseeeh hahhhhhahahaa kumbe nawe umeona hilo,sasa hivi anahangaika na prok
😂😂😂😂😂Kuna statement moja Aliandika "lakini wewe jamaniiiii"😂😂😂aseeh hapo hata unishikie bunduki siwezi kuandika kakaYani kuna muda anaandika statements katika namna ambayo mwanaume hata ashikiwa bunduki hakubali kuandika.
mwambie mkuu,mwanaume haolewiUkipigwa na kitu kizito shauri yako.
Barua ipo tayari kwa mzee wa pdf huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Hebu badili avatar sasamwambie mkuu,mwanaume haolewi
TA au Instructor
Huyo ni TATA au Instructor
Uzuri wa TA kama ulijipanga presentation na ukaokoteza maswali mawili matatu. Ni kumuomba Mungu tuHuyo ni TA
Kweli TA huwa nyepesi sana basi tu labda isiwe bahatiUzuri wa TA kama ulijipanga presentation na ukaokoteza maswali mawili matatu. Ni kumuomba Mungu tu
Hiyo lazima apateAhaa anatoboa huyo