Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Ni chache sana ambazo unakuwa pekeakoKutokana naH hiz posts zinazotangazwa upya.. kama Kuna post ulikuwa pekeyako then placements haijatoka na bado hawajatangaza upya.. basi unajua kabisa kuwa umelamba asali
Hapo taasisi ya wanyama dada wa Taifa hua ana msemo wake kua pamemtingisha hadi kizazi na mimi leo kuona re-advertized hadi nanihii zimetikisika😂😂😂😂😂Ni chache sana ambazo unakuwa pekeako
Hahhhhh Kaka nafasi zilikuwa ngapi afu wametangaza ngapi?Hapo Mweka dada wa Taifa hua ana msemo wake kua pamemtingisha hadi kizazi na mimi leo kuona re-advertized hadi nanihii zimetikisika
Mkuu we usiwe na shaka na mimi i know to handle myself...we nijibu tu haijabadilika?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa mpole kesho pdf inatoka
Mkuu kwani uliomba taasisi gani?.Mkuu we usiwe na shaka na mimi i know to handle myself...we nijibu tu haijabadilika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax mkuu achana na status zitakuvuruga tu kiongoziMkuu we usiwe na shaka na mimi i know to handle myself...we nijibu tu haijabadilika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliomba za muhimbili huko kama sijakosea kwahiyo ni afyaMkuu kwani uliomba taasisi gani?.
Wame re-advertize chache tu nyingi zimebaki zilivyo.Hahhhhh Kaka nafasi zilikuwa ngapi afu wametangaza ngapi?
Kama post yako haijawa readvertised sasa shida ipo wapi kiongozi?utakuwa umepata labdaWame re-advertize chache tu nyingi zimebaki zilivyo.
😂😂😂😂Inaumiza Kila kitu mzee sio seli tu ni mpaka sehemu za Siri mamaeeee yani unasubiri pdf afu unaona readvertisedSemaa wangetoa mkeka i ku re-advertise af mkeka bado inaumiza sana seli za ubongo
Acha tuu full nightmares 😅😁😂😂😂😂Inaumiza Kila kitu mzee sio seli tu ni mpaka sehemu za Siri mamaeeee yani unasubiri pdf afu unaona readvertised
Tuishi kitaalamu na maboss zetu sasa heshima iwe juu sana😂😂😂😂😂😂Acha tuu full nightmares 😅😁
Hahahaha tuseme AmenKama post yako haijawa readvertised sasa shida ipo wapi kiongozi?utakuwa umepata labda
Inshallah wote tutapata wakati ukifika Tusikate tamaaHahahaha tuseme Amen
Yani acha t bro shukuru sanaaNaona Dodoma imefurika Leo watu kutoka mikoani...
Hii nchi ukilamba Asali ni jambo la kumshukuru Mungu sana..
Kila la kheri wapambanaji wetu hyo kesho na keshokutwa
🤣🤣🤣🤣Hapo Mweka dada wa Taifa hua ana msemo wake kua pamemtingisha hadi kizazi na mimi leo kuona re-advertized hadi nanihii zimetikisika
Hatari sana😂😂😂🤣🤣🤣🤣