Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wa sayansi ndo abase zaidi darasani
Lakini hawa wa biashara asome na ya nje Yale ambayo ni common tu ,nafikiri huwa yanahitaji ufatiliaji wa taarifa na habari zilivyo pia kupitia zile bajeti au taarifa za wizara mbali mbali inasaidia sana hiyo

Asante sana Mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh jana nimepiga Bavaria kwa hasira sana akiweka tatu mezani namwambia njoo na zingine hahhh

Hahaha! Hongera sana Mkuu, wewe ni jobless ambaye ulipofikia ujobless unaweza ukaufokea na usikufanye kitu.

Kuna wengine ni majobless ambao ujobless umewazidi nguvu kiasi kwamba unawaendesha.
 
Wanamwaga kazi tu huko mkuu mpaka zifike 500+ now washa toa Ajira ya watu 150 mama kamwaga mabilioni mengi sana nipo kila siku natafta njia ya kuishii nayo hata 20millin hivi nitakua najependekeza kwa wakurungenzi na wakuu wa idara 🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo mkuu huwa unahesabu 😂😂😂😂 ila tatizo ajira zao nyingi ni watu wa certificate na diploma,wqnachukua kidogo sana degree mwakq mzima unaweza usikute post ya degree
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]dharau hizo na ofisi za watu na bado unashida

Hahaha! Sasa Mkuu, nimeenda kutafuta kazi ili nitatue matatizo yangu halafu nakuta walioajiriwa bado wana matatizo kama ninayoyapitia, sasa hapo umuhimu wa kazi unakuwa haupo tena.
 
Hapana ndugu yangu mie ni kama wewe tu natafuta mrija. Kuna usaili nilibahatika kufika oral baada ya kukaguliwa vyeti tukapewa muda wa saa moja kuandaa presentetion ya mada yoyote unayoijua...tukapelekwa kwenye chumba ili kuandaa wakatupatia karatasi tukaanza kuanzika sasa wakati natafuta kitu cha kukandamizia ndio nikaona hizo karatasi za wakandaji zinaonyesha mwongo huo ila azikuwa naasawali ila wamendika tu part A kuandaa na kuwasilisha mada (alama 60) sehemu B maswali mengine kwa ujumla (alama 40) na hizo karatasi zilizoandikwa hizo hazikufichwa zilikuwa wazi tu hivyo sio kama ni siri maana ingekuwa siri wasingeweka kwenye meza (sehemu ya wazi) maana mule ndani walituacha wenyewe tu tuandae hizo mada baada ya saa1 ndio wakaja wakakusanya zen wakatutoa wakaanza kuita mmoja mmoja kuanza mikando kutokana na kile ulichokiandaa. So leo nimeona niwajuze tu ili atakayebahatika kuitwa kwenye usaili wa kada za kufundisha muongozo ndio huo yaani maksi nyingi zipo kwenye kuandaa na kuwasilisha ulichokiandaa
Umetusaidia mkuu
Na vipi presentation inaishia kwenye karatasi tu au mnahamishia kwenye powet point?
 
Wazee mniombee namimi kwa mara ya kwanza ntakua udom kupiga pepa la utumishi .

Na itakua mara ya pili kufanya pepa za utumishi tuombeane pepa ya kwanza niliishia written hi hapa target yangu kufika oral tuombeane japo mpaka sasa sijapata nauli na sijui pakufikia na udom sipajui wakuu.
Mkuu kila la kheri, Mungu awe upande wako
 
Back
Top Bottom