Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha! Watu wanafall in love na avatar hatari sana.

Najua wizy ndio nguli kwenye hilo suala.

Ingekuwa miaka ya utotoni ningekuja na kauli kwamba endapo ikagundulika moneytalk ni mwanamke, naomba niachiwe nimemuwahi.
Jilipue hata sasa for your own risk, unaweza kuokota dodo chini mwarobaini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka kulipwa 200k afu unafanya kazi ya 2mil ni utumwa kaka
Hapo tena unapiga mzigo heavy huku heshimu ikiwa kileleni Kibo na Mawenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Na hatukatai, ukikataa mwenzako anakuchukua.

Mungu atutangulie tupate mirija ya uhakika na ya kudumu yenye security, then mengine ya kinafiki na kinoko maofisi tutaishi nayo hivyo hivyo
 
Nilifanya September iliishia kwenye karatasi tu , sujajua sasa ila bila shaka bado ni kwenye karatasi tu
Sahihi mwendo wa karatas ,,ni ww kuwafundisha nasio kupresent...na hakikisha unatumia lugha kialimu, akiitroduce topic yako pia waambie aim/purpose ya presentation yako ni kujifunza na matarajio yako ni nyie muelewe vile utakavyocover ,baada ya hapo tililika main body zen conclude...ukielzea kitu waulize MMEELEWA ? Japo huwa hawakujibu[emoji28][emoji28][emoji28] onesha kujali Wanafunzi wako waelewe au watoke wameelewa japo pale wanaweza wasikuoneshe chochote kukuuelewa wanabaki kukusikiliza ila watakuangalia jinsi unavyofanya unaviashiria vya kuwa tutor...
 
Nilifanya September iliishia kwenye karatasi tu , sujajua sasa ila bila shaka bado ni kwenye karatasi tu
Vyuo vikuu wanatumia PowerPoint , na uzuri kweny matangazo yao wanasemaga kabisa usahili wa mahojiano utajumuisha uwasilishaji wa mada ,,hvyo unakuwa umeendaa slide zako ,ukifika ni kuweka flash na kutilika nao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ambacho huwa nachukia yani boss ni mdgo kama Mimi halafu anataka nimnynyekee mamaeeee afu hela ananilipa ya mboga tu
 
Mkando unaendelea.naona STATUS imebadilika tena.

From "SHORTLISTED" Juzi leo ngoma inasema "selected for oral" na hii ni kupitia website.goma la NAOT.

Babajeni bye bye.

Tuendelee kupambana.
Hapo itabadilika tena inaenda hatua kama tatu hivi mzee kuwa mpole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…