Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Bongo ukiambiwa tukio ni saa 3, ujue ni saa 6 au 7.hiyo after three weeks ndo inavyokua?
Sasa wewe umeambia ni week 3, hapo ujue ni miezi kadhaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo ukiambiwa tukio ni saa 3, ujue ni saa 6 au 7.hiyo after three weeks ndo inavyokua?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha! Mkuu, mtamfanya jamaa aanze kuidharau kazi mapema kumbe kuna uwezekano yeye akaenda kuwa wa tofauti na waliopo.
Miaka ya nyuma wakati niko kwenye hustle kali, niliwahi kuitwa kwenye usaili fulani, na kweli nikaona uelekeo wa kufanya vizuri ni mkubwa sana.
Kilichonivunja moyo ni namna Hr anavaa mavazi ya yamechoka, na kibaya zaidi tulibadilishana namba nikashangaa naingia Whatsapp haujapita muda mrefu nikakuta amepost picha za vyumba vingi, kumbe anapiga na mishe mishe ya udalali wa vyumba.
Duh! Nikawapotezea sijarudi tena hata waliponiita.
Jilipue hata sasa for your own risk, unaweza kuokota dodo chini mwarobaini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kajihakikishia utelezi any time kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahhhh Kaka mfanyakazi mwenzetu alikuwa anafunga ndoa
Inaishia kwenye karatasiUmetusaidia mkuu
Na vipi presentation inaishia kwenye karatasi tu au mnahamishia kwenye powet point?
Hapo tena unapiga mzigo heavy huku heshimu ikiwa kileleni Kibo na Mawenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka kulipwa 200k afu unafanya kazi ya 2mil ni utumwa kaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mfanyakazi wenzako wa wapi tena na tunajua wewe ni jobless mwenzetu
Ukipigwa na kitu kizito shauri yako.Sema mkuu wewe ni manzi aseeh sio mjuba nathibitisha kwa herufi kubwa hata ukibisha
Nilifanya September iliishia kwenye karatasi tu , sujajua sasa ila bila shaka bado ni kwenye karatasi tuUmetusaidia mkuu
Na vipi presentation inaishia kwenye karatasi tu au mnahamishia kwenye powet point?
Sahihi mwendo wa karatas ,,ni ww kuwafundisha nasio kupresent...na hakikisha unatumia lugha kialimu, akiitroduce topic yako pia waambie aim/purpose ya presentation yako ni kujifunza na matarajio yako ni nyie muelewe vile utakavyocover ,baada ya hapo tililika main body zen conclude...ukielzea kitu waulize MMEELEWA ? Japo huwa hawakujibu[emoji28][emoji28][emoji28] onesha kujali Wanafunzi wako waelewe au watoke wameelewa japo pale wanaweza wasikuoneshe chochote kukuuelewa wanabaki kukusikiliza ila watakuangalia jinsi unavyofanya unaviashiria vya kuwa tutor...Nilifanya September iliishia kwenye karatasi tu , sujajua sasa ila bila shaka bado ni kwenye karatasi tu
Vyuo vikuu wanatumia PowerPoint , na uzuri kweny matangazo yao wanasemaga kabisa usahili wa mahojiano utajumuisha uwasilishaji wa mada ,,hvyo unakuwa umeendaa slide zako ,ukifika ni kuweka flash na kutilika naoNilifanya September iliishia kwenye karatasi tu , sujajua sasa ila bila shaka bado ni kwenye karatasi tu
Mambo ya taasisi nayo fanyia kazi lazima niyajue🤣🤣Kwa hiyo mkuu huwa unahesabu 😂😂😂😂 ila tatizo ajira zao nyingi ni watu wa certificate na diploma,wqnachukua kidogo sana degree mwakq mzima unaweza usikute post ya degree
Achana na status mwamba unajipa pressure tu bureMkando unaendelea.naona STATUS imebadilika tena.
From "SHORTLISTED" Juzi leo ngoma inasema "selected for oral" na hii ni kupitia website.goma la NAOT.
Babajeni bye bye.
Tuendelee kupambana.
😂😂😂😂Ambacho huwa nachukia yani boss ni mdgo kama Mimi halafu anataka nimnynyekee mamaeeee afu hela ananilipa ya mboga tuHapo tena unapiga mzigo heavy huku heshimu ikiwa kileleni Kibo na Mawenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Na hatukatai, ukikataa mwenzako anakuchukua.
Mungu atutangulie tupate mirija ya uhakika na ya kudumu yenye security, then mengine ya kinafiki na kinoko maofisi tutaishi nayo hivyo hivyo
Hapo itabadilika tena inaenda hatua kama tatu hivi mzee kuwa mpoleMkando unaendelea.naona STATUS imebadilika tena.
From "SHORTLISTED" Juzi leo ngoma inasema "selected for oral" na hii ni kupitia website.goma la NAOT.
Babajeni bye bye.
Tuendelee kupambana.
😂😂😂😂Hahhhhh Kaka barua itanikuta kazini sasaUkipigwa na kitu kizito shauri yako.
Barua ipo tayari kwa mzee wa pdf huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂 Jobless nadhalaulika sana aseeh hahhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unataka kutoboa siri wewe
😂😂😂😂Hiyo tunasema anapiga Utelezi non stop Yani bila bando hahhhKajihakikishia utelezi any time kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hongera yake
Mzee imetoka selected for oral,ikaenda shortlisted tupu.leo imerudi selected for oral tena.Hapo itabadilika tena inaenda hatua kama tatu hivi mzee kuwa mpole