Wanaomanage system ndo wanajua maana yake mzee we subiri pdf kubadilika ni kawaidaMzee imetoka selected for oral,ikaenda shortlisted tupu.leo imerudi selected for oral tena.
Bado nisubirie matumaini?
Haya ngoja tujipe moyo
ππππHahhhh maisha sio fair kakaUnasubiria placement mara Utumishi wana re-advertize mchongo wako. Aloo π
Hahaaa lazima usubirie huku unatukanwa na muhindi.ukikaa tu home unaweza uchanganyikie goma likija tofautiUnasubiria placement mara Utumishi wana re-advertize mchongo wako. Aloo [emoji119]
Acha tu sijui unalia au unaomba upyaππππHahhhh maisha sio fair kaka
Unaomba tena mzee maisha ndo haya hayaAcha tu sijui unalia au unaomba upya
ππππ tuendelee kuwa wapole kwa maboss aseehHahaaa lazima usubirie huku unatukanwa na muhindi.ukikaa tu home unaweza uchanganyikie goma likija tofauti
Jibu gani tena mkuu??Hauko pekee ako .
Wengi sanaa wanasubiri hilo jibu
Bro kwan ww unajua aliepata status inakuaje??Mzee imetoka selected for oral,ikaenda shortlisted tupu.leo imerudi selected for oral tena.
Bado nisubirie matumaini?
Haya ngoja tujipe moyo
πππππAnachanganyikiwa na status kijana wetu hahhhBro kwan ww unajua aliepata status inakuaje??
Mie kuna rafiki angu ana mwezi kazini ,stuts yake inasoma selected for oral ,ukimuuliza hbr za shortlisted yy anasema hajawahi ona ,,Cha msingi subria pdf ukiona haupo basi lkn hawezi jua Upo kanzidata au vp ,,usije changanyikiwa kwa sababu ya status [emoji3][emoji23][emoji23] ,,
Haya mambo ya status prsp ndo wanajua ukweli,,inaweza kuwa SHORTLISTED halaf matokeo yakatoka hola ,inaweza kuwa selected for oral,, matokeo yakatoka umetoboa
Jilipue hata sasa for your own risk, unaweza kuokota dodo chini mwarobaini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambacho huwa nachukia yani boss ni mdgo kama Mimi halafu anataka nimnynyekee mamaeeee afu hela ananilipa ya mboga tu
ππππHahaha! Mkuu, nyie watu nawaogopa sana, kama ni inshu inayohusiana na mionzi angalia usije ukamchoma boss wako na mionzi kwa hasira.
Mimi mbona bado shortlistedMkando unaendelea.naona STATUS imebadilika tena.
From "SHORTLISTED" Juzi leo ngoma inasema "selected for oral" na hii ni kupitia website.goma la NAOT.
Babajeni bye bye.
Tuendelee kupambana.
Tafuta suti.Mimi mbona bado shortlisted
Kiongoz jambo lako wamelirudisha tena ubaoni??Hauko pekee ako .
Wengi sanaa wanasubiri hilo jibu
Mkuu kwako leo haijabadilika?Wanaomanage system ndo wanajua maana yake mzee we subiri pdf kubadilika ni kawaida
πππππKuwa mpole kesho pdf inatoka