Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Hakika, Asante sana nduguHongera Sana Kaka mungu Ni muaminifu siku zote
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Asante kaka, hakika Mungu ni mwemaHongera sana mkuu
Hongera sana mkuu. Kila la kheri katika utumishi wa Umma.Thank you my Lord,
Thank you Allah
Thank youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Asante yaani hata sijapata usingizi😂😂Hongera sana mkuu. Kila la kheri katika utumishi wa Umma.
Usisahau kutoa ushuhuda wa status.
Kongole kwako mkuu ukawe mtumishi bora wa ummaAsante yaani hata sijapata usingizi😂😂
Hongera sana kijana wangu mungu akutangulie sana ushuhuda wa stutus,,,,Asante yaani hata sijapata usingizi😂😂
Ushuhufa mzuri mkuu uwahi sasa kuchukua barua ile suti inabidi uinyooshe upya 😂😂😂 ila nimefurahi sana kijana wangu umekuwa updated mno hapa hakika mungu ni mkubwaAisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.
Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.
Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Haya mabadiliko ya status sidhn kama ynahusiana na kupat kz maana wapo ambao zimebdilika na wako kzn na wapo ambao hazijabadilika na wako kzn pia kikubwa kusbria pdf ukiwemo alhamdulilah usipokuwepo huenda umo database ama ulifeli uombe nafasi nyingne....hongera kk kwa kupata nafasi serkaliniAisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.
Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.
Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Status baada ya kufika Oral haina maana yoyote ileAisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.
Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.
Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Yeah inabadilika badilika bila mpangilio wowoteStatus baada ya kufika Oral haina maana yoyote ile
Asante Sana inabidi niazime suti ya wizyUshuhufa mzuri mkuu uwahi sasa kuchukua barua ile suti inabidi uinyooshe upya 😂😂😂 ila nimefurahi sana kijana wangu umekuwa updated mno hapa hakika mungu ni mkubwa
Yeah haina kukata tamaaHaya mabadiliko ya status sidhn kama ynahusiana na kupat kz maana wapo ambao zimebdilika na wako kzn na wapo ambao hazijabadilika na wako kzn pia kikubwa kusbria pdf ukiwemo alhamdulilah usipokuwepo huenda umo database ama ulifeli uombe nafasi nyingne....hongera kk kwa kupata nafasi serkalini
Muhimu kupigiwa simu au PDFStatus baada ya kufika Oral haina maana yoyote ile
SS bro embu tupe darasa kwenye oral yako ulivyoifanya kuanzia kuandaa topic ,ulivyoipresent hadi Q &A ilikuwaje..maana itatusaidia wasakatonge wa mrija wa asali humu AhmetAisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.
Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.
Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Ndio maana status tunawambia wawe wapole,,uwezi jua utatoboa au kanzidata (japo ngumu kujua) au haikuwa bahati yako kwa wakati huoAisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.
Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.
Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Thank you my Lord,
Thank you Allah
Thank youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Bila shaka upo any time huko, nikipata chance nitazungukia.Lazima upate vitu vya kutosha halafu bei cheee