Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.

Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.

Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
 
Ushuhufa mzuri mkuu uwahi sasa kuchukua barua ile suti inabidi uinyooshe upya 😂😂😂 ila nimefurahi sana kijana wangu umekuwa updated mno hapa hakika mungu ni mkubwa
 
Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.

Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.

Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Haya mabadiliko ya status sidhn kama ynahusiana na kupat kz maana wapo ambao zimebdilika na wako kzn na wapo ambao hazijabadilika na wako kzn pia kikubwa kusbria pdf ukiwemo alhamdulilah usipokuwepo huenda umo database ama ulifeli uombe nafasi nyingne....hongera kk kwa kupata nafasi serkalini
 
Status baada ya kufika Oral haina maana yoyote ile
 
Haya mabadiliko ya status sidhn kama ynahusiana na kupat kz maana wapo ambao zimebdilika na wako kzn na wapo ambao hazijabadilika na wako kzn pia kikubwa kusbria pdf ukiwemo alhamdulilah usipokuwepo huenda umo database ama ulifeli uombe nafasi nyingne....hongera kk kwa kupata nafasi serkalini
Yeah haina kukata tamaa
 
Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.

Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.

Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
SS bro embu tupe darasa kwenye oral yako ulivyoifanya kuanzia kuandaa topic ,ulivyoipresent hadi Q &A ilikuwaje..maana itatusaidia wasakatonge wa mrija wa asali humu Ahmet
 
Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.

Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.

Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Ndio maana status tunawambia wawe wapole,,uwezi jua utatoboa au kanzidata (japo ngumu kujua) au haikuwa bahati yako kwa wakati huo
 
Lazima upate vitu vya kutosha halafu bei cheee
Bila shaka upo any time huko, nikipata chance nitazungukia.

Ila tukikutana bila kujuana isipokuwa kwa kuhisiana tu kama siku ile ya mkando, si itakuwa poa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], maana wazee wa utelezi akina wizy najua watanivamia niwape koneksheni ya kumnasa mnyumbuaji wa PGO[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom