Pole mkuu ndo ukubwaπππngoja kichwa kitulie kwanza,nimevurugwa
Kesho mnaamka na matokeo ili wa kusafiri waanze mapema.hawajasema ila oral ni tarehe 7
Status mpaka Sasa hazina majibu ya uhakika..nakazia kwenye ushauri uliotolewa siku za awali..msubiri pdfIliandika selected for null na nafasi ilikuwa moja kapata mtu mwingine
Hii waoooh sio yakiume aseehπππWaooh hongera sana jaman
Sawa kwahiyo not selected nae asubiri?πππππStatus mpaka Sasa hazina majibu ya uhakika..nakazia kwenye ushauri uliotolewa siku za awali..msubiri pdf
Asubiri bila shidaSawa kwahiyo not selected nae asubiri?πππππ
Sawa sawa upo data base labdaS
Iliandika shortlisted ila siku tatu hizi imebadilika ipo selected for oral
Mm hakuna mabadiliko tangu ilivyochange ile majuz nafkr.πππWe chungulia tu utaona mabadiliko hahhh
Yes sema tulishafanya kwa nafasi yetu hayo mengine tuwaachie wao psrsAsubiri bila shida
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hii waoooh sio yakiume aseeh[emoji23][emoji23][emoji23]
pdf inatoka soon tusubiriMm hakuna mabadiliko tangu ilivyochange ile majuz nafkr.
KabisaYes sema tulishafanya kwa nafasi yetu hayo mengine tuwaachie wao psrs
ππππAtupe madini tukawakande utumishi hahhh@ahmet ujue tunakusubria utupe Madini ya experience yako ya oral ss majobless tujifunze ulisema usiku tunakusubria kk wizy makini kukusikiliza
ππππasa anatukazia utelezi aseeehHuyo moneytalk ni mwanamke mbona iko wazi kabisa mkuu.
Pengine ana mtu wake mkuu, pia mtandaoni inabid uwe smart sna wanao fake ni percent kubwa sna.ππππasa anatukazia utelezi aseeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me mwenyewe sijiamini amin kwa nilichokifanya kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh wamekukanda mkuu??mpka useme we ni ke au vipi
ila ukubwa mateso[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Pole mkuu ndo ukubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
UwiiiiKesho mnaamka na matokeo ili wa kusafiri waanze mapema.