Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naam. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
 
Upo sahihi kiongozi wakati ukifika hakuna chakuzuia
 
Ubarikiwe sana kaka nimekuelewa na nimekupata vyema sana
 
ila mkuu pepa ilikua normal kinoma upande wangu naishangaa results.na katika wanangu sita ni mwanangu mmoja tu kaingia oral mbili. inanivunja moyo lkn pia inanijenga kuwa mybe kuna vipengele nimechoma
Zile pepa ukiyumba kidgo umepotea mzee zinataka uwe makini sana tena sana unaweza kulielewa swali tofauti ukajibu mengine
Hizi pepa kabla ya kwenda fatilia ushauri wa watu utakusaidia
 
Hatimae mtoto kutoka familia ya kimaskini serikali imeniona.
Jamani msikate tamaa Mungu akisema NDIO hakuna wakusema No! Ipo siku jobless wote mtapata ajira [emoji120]
Hongera kiongozi
Umepata taasisi gani?
Na status ilikuwaje kwenye account yako mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…