Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Naam. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.Haya mambo ya Ajira Utumishi ni Mungu tu ndio anapanga.Unaweza ukajiandaa vizuri written ukapigwa,unaweza enda umesoma kawaida, mtihani ukaja upande wako ukaenda hatua ya pili.
Yote kwa yote Kupata kazi Sasa ni Mungu tu kapanga.Yaani ukifika Wakati wako ni unakuwa umefika hakuna wa kuzuia.