Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Tayari ndio natoka udom saivOya mwanangu ushachukua barua kaka
😂😂😂😂Hahhhh lazima iishe mzee hiyo ndo tunaita nguvu ya pdfMimi Sasa hivi hata nguvu ya kuingia ingia humu imeisha
God be with u mzeeTayari ndio natoka udom saiv
Safi sana ngoja nije PM sasa haya mengine yapo pasono sasa.Tayari ndio natoka udom saiv
Ukiona jina lako kwenye pdf unapoa kama mtu aliemaliza round kwenye mechi😂😂😂😂Hahhhh lazima iishe mzee hiyo ndo tunaita nguvu ya pdf
Lazima aseeh hii mihangaiko yakucheki humu ni kwasababu ya pdf tu😂😂😂Ukiona jina lako kwenye pdf unapoa mtu aliemaliza round kwenye mechi
Kuchukua barua ni rahisi hata dakika Tano hazizidiGod be with u mzee
😂😂😂😂Kumbe shida ni kusubiria jina tu hahhhKuchukua barua ni rahisi hata dakika Tano hazizidi
Aisee hongera Sana mzeeKuchukua barua ni rahisi hata dakika Tano hazizidi
Inategemea na taasisi ila sio chini ya miezi 2 mpaka 3. Na database ni haizidi mwaka mmojaWakuu naulizia je baada ya kufanya Oral inaweza kuchukua muda gani mpaka kuitwa kazini lakini pia kwa uzoefu ikishapita baada ya muda gani basi itakuwa inamaanisha kuwa hata kwenye database haupo? Mwenye ufahamu juu ya hili naomba anijuze.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Panels zinakuwa kati ya 5-10 so Muda unatosha.Hv hawa people wasaka Ajira wanaofanya Usaili wa Oral watu 200+ hv wanamaliza kweli watu wote..
Just emagine Kila mtu atumie dakika 5..
Hapo kimahesabu ni sawa na masaa 16 na dakika kadhaa.. hii si kutwa nzima hii na usiku wake pia..?
Kwa kweli hizi panels zinapaswa zilipwe pesa kubwa sana.. hiyo kazi ni ngumu
Kuitwa kazini inategemeana na uharaka wa taasisi yako unaweza kuchukua mwezi,miezi miwili,mitatu ,minne au hata mwaka😂Wakuu naulizia je baada ya kufanya Oral inaweza kuchukua muda gani mpaka kuitwa kazini lakini pia kwa uzoefu ikishapita baada ya muda gani basi itakuwa inamaanisha kuwa hata kwenye database haupo? Mwenye ufahamu juu ya hili naomba anijuze.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umeiba wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nna Volkswagen" asaivi inakata upepo kinoma
MmhLatra wamenipiga na kitu kizito..Mungu ajaalie kwa yeyote aliyeitwa Oral humu jukwaani..afanikishe.
niko hapa nakula muda huuMungu ni mwema dear Akakupiganie this time,,,ukitoka tukutsne makulu tupate walau pepsi baridi
Ushabeba barua Mkuu?Soon watatoa
😂😂😂😂Unamdhalilisha jobless au sio?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umeiba wapi
Imetoka kwenye oral?niko hapa nakula muda huu
tulia dogo[emoji23][emoji23][emoji23]au oysterbay