Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu naulizia je baada ya kufanya Oral inaweza kuchukua muda gani mpaka kuitwa kazini lakini pia kwa uzoefu ikishapita baada ya muda gani basi itakuwa inamaanisha kuwa hata kwenye database haupo? Mwenye ufahamu juu ya hili naomba anijuze.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Inategemea na taasisi ila sio chini ya miezi 2 mpaka 3. Na database ni haizidi mwaka mmoja
 
Hv hawa people wasaka Ajira wanaofanya Usaili wa Oral watu 200+ hv wanamaliza kweli watu wote..
Just emagine Kila mtu atumie dakika 5..
Hapo kimahesabu ni sawa na masaa 16 na dakika kadhaa.. hii si kutwa nzima hii na usiku wake pia..?

Kwa kweli hizi panels zinapaswa zilipwe pesa kubwa sana.. hiyo kazi ni ngumu
Panels zinakuwa kati ya 5-10 so Muda unatosha.
Wanagawa wanaokandwa kwa grupu za watu 20 Kila grupu.
 
Wakuu naulizia je baada ya kufanya Oral inaweza kuchukua muda gani mpaka kuitwa kazini lakini pia kwa uzoefu ikishapita baada ya muda gani basi itakuwa inamaanisha kuwa hata kwenye database haupo? Mwenye ufahamu juu ya hili naomba anijuze.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kuitwa kazini inategemeana na uharaka wa taasisi yako unaweza kuchukua mwezi,miezi miwili,mitatu ,minne au hata mwaka😂
Na kukaa data base hesabu miezi sita baada ya placement kutoka
 
Back
Top Bottom