Mwezi huu hauvuki Kaka Hawa tunao mwaka huu huuTuassume huu mwaka hauwezi kupinduka kabla jambo halijatokea
Umepata jkci?pdf limemwagwaa hukooo daah kumekuchaa dadekiii mambo yameanzaa upyaaaaa
😂😂😂😂Hahhhh hachelewi kutuambia tukajiajiriHahahaha! Kaka, hii komenti yako ina mawili, moja ni inawezekana kwa sasa unapata uvivu sana kuingia kwenye uzi wa majobless ndio maana unaweka majibu mafupi fupi, au mbili ni kwa sasa unaongea kwa mamlaka sana kama miongoni mwa watu kutoka Serikalini na Utumishi (Utani kidogo Mkuu, huku tukiendelea kufarijiana).
Pole sana mkuu, haikuwa bahati yako, next time ni nafasi yako.Daah wizy mwanangu nmeangalia bhana ...haijawa bahati yangu imekuwa ya wenzangu ,.. hivyo najipanga na zingine,,, hatuwezi jua suala la kanzidata,, .. .. ,[emoji120][emoji120][emoji120] next time itakuwa yangu
Umebahatika JKCI au hukufanya oral kule?pdf limemwagwaa hukooo daah kumekuchaa dadekiii mambo yameanzaa upyaaaaa
kuna mwana wangu kala shavuuu....Umepata jkci?
😀 😀 😀ningepata ningeanzisha uziUmebahatika JKCI au hukufanya oral kule?
Uhakika tuishi humokuna mwana wangu kala shavuuu....
😂😂😂😂Kijana wa hovyo sana hahhhh😀 😀 😀ningepata ningeanzisha uzi
Ngoja waje mzee tuendelee kusubiri za kwetuMliobshatika mtujuze ambao bado tuungane kula mtori bado mambo mazuri yanakuja marufuku kukata tamaaa hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]😀 😀 😀ningepata ningeanzisha uzi
yani mateso ya kupata ajira balaaa😂😂😂😂Kijana wa hovyo sana hahhhh
😂😂😂Mpaka upate yani umeshanyooka nakuwaheshimu joblessyani mateso ya kupata ajira balaaa
Hongera kiongozi ukawe mtumishi mwema sasaBREAKING NEWS [emoji91][emoji91][emoji91]
MUNGU AMEJALIA KIJANA WENU NIMETOBOA KWENYE MRIJA WA ASALI
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wow Safi sana zamu yangu inakaribia mungu ni mwema hongera sana yaniBREAKING NEWS [emoji91][emoji91][emoji91]
MUNGU AMEJALIA KIJANA WENU NIMETOBOA KWENYE MRIJA WA ASALI
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hongera sana kijana ukawe mtumishi boraBREAKING NEWS [emoji91][emoji91][emoji91]
MUNGU AMEJALIA KIJANA WENU NIMETOBOA KWENYE MRIJA WA ASALI
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuuBREAKING NEWS [emoji91][emoji91][emoji91]
MUNGU AMEJALIA KIJANA WENU NIMETOBOA KWENYE MRIJA WA ASALI
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
mhh nini.