HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mwanangu Jana tu ulikua jobless kama mimi tena wakuulizia status kama mimi leo umetoboa daaah uhakika sana mzee lazima tutatoboa humu
Serikali waongeze ajira za kutosha si kutoa ajira kwa kulenga na manati nafasi moja inagombaniwa na nyomi halafu ajira ni chache yet zinatoka kwa mafungu mafungu ,huku ni kupoteza nauli na muda .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ