ππππPale kuna hela kiongozi wewe uanze kulipwa 1.8mil na overtime kama zote utaacha kunenepa??Hahaha unanenepaje ndani ya wiki mzee utakuwa panya buku Nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nakuzingua mzee nilikuwa nampanga mwamba pm kule ishu flaniππππoya mbona unanitishia mzee hebu fafanua vizuri mabadiliko gani tena
Wee kumbe salary Yao ndo hiyo sikujua kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale kuna hela kiongozi wewe uanze kulipwa 1.8mil na overtime kama zote utaacha kunenepa??
Patamu sana huwezi amini mwanangu kapona baada ya kula mrija wa paleππππPale kuna hela kiongozi wewe uanze kulipwa 1.8mil na overtime kama zote utaacha kunenepa??
ππππUhakika tuishi humoNakuzingua mzee nilikuwa nampanga mwamba pm kule ishu flani
Nakupata ova 72 overMzee kunywa maji mengi ww ni professional popote una fit tofauti na hawa security guard nk tulia pia kuna info nimekutumia pm
pale kuna hela mzee
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ameona akaponee kazini vizuriPatamu sana huwezi amini mwanangu kapona baada ya kula mrija wa pale
Kijana wa hovyo sana πππππHahhhh 72 overNakupata ova 72 over
Jobless unanichanganya kijana unataka kesho niingie Dodoma kuchukua barua yangu Nini [emoji23][emoji23]pale kuna hela mzee
ππππTangulia kazini barua itakukuta huko kakaJobless unanichanganya kijana unataka kesho niingie Dodoma kuchukua barua yangu Nini [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nakuja PM unipe contact za wadau wako wa TAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangulia kazini barua itakukuta huko kaka
Amini mwanangu umetusua pazuri kazi luxury kabisa yani utupwe Jk nyerere au arusha miezi michache tu unatembelea makalio πππJobless unanichanganya kijana unataka kesho niingie Dodoma kuchukua barua yangu Nini [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
ππππHahhhh akienda Arusha ndo kuzuri paleAmini mwanangu umetusua pazuri kazi luxury kabisa yani utupwe Jk nyerere au arusha miezi michache tu unatembelea makalio πππ
Wadau mnanipanikisha Sasa [emoji23] [emoji23] naombeni msinikoseshe usingizi nikaanza kuota gari January tu hapa [emoji23][emoji16]Amini mwanangu umetusua pazuri kazi luxury kabisa yani utupwe Jk nyerere au arusha miezi michache tu unatembelea makalio [emoji23][emoji23][emoji23]
Utakutana na dodoma πππ
ππππSure mzee pale kuna hela me wanangu sinawaona maisha yao ndani ya mwaka mmoja tu wapo gud kinomaWadau mnanipanikisha Sasa [emoji23] [emoji23] naombeni msinikoseshe usingizi nikaanza kuota gari January tu hapa [emoji23][emoji16]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Basi mungu ajalie nisikute hizo hela zimeisha [emoji38][emoji23] maana vyuma vinabana kinoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sure mzee pale kuna hela me wanangu sinawaona maisha yao ndani ya mwaka mmoja tu wapo gud kinoma
ππππHela zipo nakuombea uende chuga pale ununue Subaru mapema tu uanze kutembea umekaaBasi mungu ajalie nisikute hizo hela zimeisha [emoji38][emoji23] maana vyuma vinabana kinoma
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Chuga Kuna madili kwani au utofauti wake Nini na viwanja vingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hela zipo nakuombea uende chuga pale ununue Subaru mapema tu uanze kutembea umekaa