Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kilichofanya ukatae kuwa sio ulinzi ni kipi? Au neno officer? Kwa hiyo ata Mkuu wa majeshi akatae afanyi kazi ya ulinzi? Kazi zote za usalama ni ulinzi,huyo ni mlinzi wa TAA mkuu,nadhani weww ndo hukuelewi duties,tatizo unaona mlinzi ni yule anaelinda nyumba za watu masaki kutoka night support security company😂😂😂
😂😂😂😂😂oya mshaanza kumsema mlinzi wetu aseeh
 
Back
Top Bottom