Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Uziri wa Airport kila mtu anatamani akafanye kazi pale yaani mazingira ya kazi ni mazuri unaweza kunenepa hata kama hulipwi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hasa iwe JNIA au KIA
 
Ivi ukiingia oral huwa wanajumlisha na pass marks ya written au practical au ukiingia oral wanaanza upya kukukanda je mfano Naweza ongoza practical maybe oral tumefika 7 nafasi 4 na nikiingia oral naweza kukandwa mfano poa nisaidieni jibu
Ukiingia oral marks zake zinajitegemea mzee
Unaweza kuongoza prac na oral ukafeli na kazi hupati
 
Back
Top Bottom