Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila nimegundua ukifanya fanya oral kujiamini kinakuja yanabaki Madesa sasa [emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3]
Yes confidence inakuja ukishawazoea wale ,Yani kwamfano mimi naonaga kawaida tu sasa shida inakujaga wakiuliza kitu ambacho sikijui au sijakisoma😂😂😂😂😂
 
Yes confidence inakuja ukishawazoea wale ,Yani kwamfano mimi naonaga kawaida tu sasa shida inakujaga wakiuliza kitu ambacho sikijui au sijakisoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sure kabisa, Mungu atusaidie me naamini siku yetu inakuja soon
 
Kiukweli nimeumia sana[emoji24]
Yani niliingia oral interview na pass mark kubwa. Status ikasoma shortlisted hadi Selected for oral. Kwenye Application ilisoma Selected for Null lakini matokeo yake nimekandwa. I dare to say it [emoji856] hurt unconditionally. Jamani Hongera mliopata ila maisha hayako sawa
Pole sana mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Chuga Kuna madili kwani au utofauti wake Nini na viwanja vingine

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Airport ya Arusha iko busy sana, wageni weng sababu ya utalii.

NB: Hyo post yako ya Security Officer ni tofauti kabisa na Security guard. Hapo unakwenda ku enjoy aisee. Nina jamaa namfaham yy ni securty officer Tanesco tena mkoan huku, yuko vizuri sna.

Kwa upande wa TAA hapo lazima salary itakuwa vizuri pia overtime + allawances za kutosha.
 
Ivi ukiingia oral huwa wanajumlisha na pass marks ya written au practical au ukiingia oral wanaanza upya kukukanda je mfano Naweza ongoza practical maybe oral tumefika 7 nafasi 4 na nikiingia oral naweza kukandwa mfano poa nisaidieni jibu
Wanaanza upya kabsa na hata maksi zenu za written wanakuwa hawazitambui pale.

Kwa kifupi mkishaingia oral wote mnakuwa na chance sawa ya kupata kazi, ni wewe sasa kuanza kuzipunguza mpk zistoshe😅😅
 
Sawa mkuu maana wengine tunaona taasisi zao zinawachelewesha Sana kuanza kazi mfano TRC waliitwa kazini March mwaka huu wakaripoti Ila wakaambiwa warudi nyumbani watapigiwa simu wamekuja kuitwa mwezi August kuanza kazi, so wamekaa home miezi 5 sijui inatokana na Nini hii Hali

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kikubwa umeshapata uhakika wa kazi ni kumshukuru Mungu...

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Embu dodosha maswali uliyokutanayo hayo ya point 5 5 bas watu wajifunze [emoji3][emoji3]
ORAL INTERVIEW - ASA : ECONOMIST II

1. Explain your life history and education backgrounds.
2. Features of privatization(5 points)
3. Conditions for the equilibrium of the economy (5 pints)
4. Features of Recession (5 pints)
5. Measures of Price elasticity of demand ( 3 points)

Dude hilo hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maswali sio magumu sana ila kama hukupitia madesa plus na ile pressure ya mule ndani unaweza kupigwa NDOIGE[emoji28]
 
ORAL INTERVIEW - ASA : ECONOMIST II

1. Explain your life history and education backgrounds.
2. Features of privatization(5 points)
3. Conditions for the equilibrium of the economy (5 pints)
4. Features of Recession (5 pints)
5. Measures of Price elasticity of demand ( 3 points)

Dude hilo hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Balozii..ilikua ku mention au ku explain?
 
Back
Top Bottom