Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Ni Kweli kk, ila oral inavuruga lkn nachoipendea inakupa hope we never know, Mungu ni mwema Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitoka oral lazima uchanganyikiwe kidgo ukianza kuwaza ulichojibu aseeeh
Kwani Oral kufaulu ni juu ya 70 au 50..?Ukiingia oral marks zake zinajitegemea mzee
Unaweza kuongoza prac na oral ukafeli na kazi hupati
Unavyowaza ulivurunda Kuna wenzio nao wanawaza afadhali ya wewe subilia pdf tu kaka ila jamaa wanakanda ukitoka hadi kichwa kinauma waweza hata kusahau njia ya kurudia nyumbaniNi Kweli kk, ila oral inavuruga lkn nachoipendea inakupa hope we never know, Mungu ni mwema Sana
Vp mkuu, points zilikuwa hazipandi eeh,, maana wale wakuu wanaforce idadi Ileile wanayoihitaji kama points 5 basi ni 5Nawasubiri tu maana daah oral nayo inavuruga Sana na ukiiwaza ulivyoipata sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri ni kuwa unakuwa na kitu chakusubiria kama neema za Mungu zikiwa upande wako ndo umetoboa yaniNi Kweli kk, ila oral inavuruga lkn nachoipendea inakupa hope we never know, Mungu ni mwema Sana
ππππHahhhh hawataki maelezo pumbafu sana"Just mention"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Zilikuwepo lkn unakuta sio zote kk, unaweza kujua 3 Kati ya 5.Vp mkuu, points zilikuwa hazipandi eeh,, maana wale wakuu wanaforce idadi Ileile wanayoihitaji kama points 5 basi ni 5
Kufaulu ni 50 tu sema sasa ili uchaguliwe inatakiwa uwazidi marks wengineKwani Oral kufaulu ni juu ya 70 au 50..?
ππππKuna swali unapigwa yani hata point moja hauna inabidi udanganye tu mamaeeeeZilikuwepo lkn unakuta sio zote kk, unaweza kujua 3 Kati ya 5.
Zing]ne unaungaunga tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hv mkuu ukijibu maswali matatu clear kabisa kwa kuamini points zako hapo kupata 50 ya Database si uhakika hata ukibolonga mawili yaliyobaki..?ππππHahhhh hawataki maelezo pumbafu sana
Chamuhimu ujibu maswali yote mengine utapata na mengine utakosa lakini confidence muhimuHv mkuu ukijibu maswali matatu clear kabisa kwa kuamini points zako hapo kupata 50 ya Database si uhakika hata ukibolonga mawili yaliyobaki..?
Kabisa kaka, Mungu atusaidie tuvuke salamaUzuri ni kuwa unakuwa na kitu chakusubiria kama neema za Mungu zikiwa upande wako ndo umetoboa yani
Kilichofanya ukatae kuwa sio ulinzi ni kipi? Au neno officer? Kwa hiyo ata Mkuu wa majeshi akatae afanyi kazi ya ulinzi? Kazi zote za usalama ni ulinzi,huyo ni mlinzi wa TAA mkuu,nadhani weww ndo hukuelewi duties,tatizo unaona mlinzi ni yule anaelinda nyumba za watu masaki kutoka night support security companyπππHizo job descriptionView attachment 2440153View attachment 2440154
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
InshallahKabisa kaka, Mungu atusaidie tuvuke salama
Yaaah, ukiwa hata unadanganya points Ila unaongea kwa kujiamini na sauti ya juu tena ya kusikika na Kila mtu inakuwa Mororo sanaππChamuhimu ujibu maswali yote mengine utapata na mengine utakosa lakini confidence muhimu
πππππoya mshaanza kumsema mlinzi wetu aseehKilichofanya ukatae kuwa sio ulinzi ni kipi? Au neno officer? Kwa hiyo ata Mkuu wa majeshi akatae afanyi kazi ya ulinzi? Kazi zote za usalama ni ulinzi,huyo ni mlinzi wa TAA mkuu,nadhani weww ndo hukuelewi duties,tatizo unaona mlinzi ni yule anaelinda nyumba za watu masaki kutoka night support security companyπππ
ππππKwa sauti ya juu sanaYaaah, ukiwa hata unadanganya points Ila unaongea kwa kujiamini na sauti ya juu tena ya kusikika na Kila mtu inakuwa Moro sanaππ
Ila nimegundua ukifanya fanya oral kujiamini kinakuja yanabaki Madesa sasa [emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3]Chamuhimu ujibu maswali yote mengine utapata na mengine utakosa lakini confidence muhimu
50 non teachng 70 teachngKwani Oral kufaulu ni juu ya 70 au 50..?