Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?


Mkuu, katika kipindi ambacho hushauriwi kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe ni pale unapoona unapitia changamoto inayokupa msongo wa mawazo. Hii ni kwa sababu majibu mengi utakayojipa ni hasi na yatakayokuumiza.

Ukweli ni kwamba, kuhusu kanzi data mengi hayako wazi. Kwa mfano suala la mtu aliyefanya vizuri kwenye taasisi β€œA”, ni vigezo vipi vitatumika kumpelekea taasisi β€œB” kupitia kanzi data, hili wengi hutumia kujiongeza kupata majibu. Lakini kiuhalisia ni Utumishi wenyewe wanaojua kwa asilimia mia sababu wanazotumia.

Tafadhali, kuwa mvumilivu, endelea kuvuta subira. Wala usiumie sana, kwa sasa ni wakati wa wengine kupata, na kuna siku itafika ni wewe utakayepata na wengine watakuwa wamekosa.

#Wakati wako ukifika, hautahitaji hata kutumia nguvu nyingi, mambo yatakwenda kiulaini mpaka utashangaa.
 
True
 
Ninachoona ukiitwa written soma vitu vingi Sana, kwasababu wanatoa vitu vidogovidogo ambavyo mtu hutegemei
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kuna vitu wanatoa pale mpaka unajiuliza mpka hili?
Siku moja nimeenda nikaulizwa themes of geography"aseeh sinikataja advantage za geography πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kumbe nimepotea
 
Yaaah, ukiwa hata unadanganya points Ila unaongea kwa kujiamini na sauti ya juu tena ya kusikika na Kila mtu inakuwa Mororo sana😁😁
Sidhani tuwe wakweli kama maswali umeyaelewa utajibu kwa confidence,kama hujui huwezi kuwa na confidence. Panelists hawawezi kukupa marks kwa kujibu uongo kwa confidence unless otherwise panelists hawajui wanachouliza.
 
Sidhani tuwe wakweli kama maswali umeyaelewa utajibu kwa confidence,kama hujui huwezi kuwa na confidence. Panelists hawawezi kukupa marks kwa kujibu uongo kwa confidence unless otherwise panelists hawajui wanachouliza.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…