Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Ukkiwa nje huwa easy [emoji3][emoji3][emoji3]Maswali sio magumu sana ila kama hukupitia madesa plus na ile pressure ya mule ndani unaweza kupigwa NDOIGE[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukkiwa nje huwa easy [emoji3][emoji3][emoji3]Maswali sio magumu sana ila kama hukupitia madesa plus na ile pressure ya mule ndani unaweza kupigwa NDOIGE[emoji28]
Cc😡Balozi limitedAll the best champs [emoji123]
Umeshafaulu mpka hapo ,Kuna ile just mention 5 point there is no need to explain😂😂Explain
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh hachelewi kutuambia tukajiajiri
😂😂😂hahhhh ameshatusahau asaiviHahahaha! Kabisa Mkuu. Naamini kwa aliyoyapitia kipindi cha ujobless hata sahau kuwapenda jobless.
Mzee nimepata kazi yenyewe Airport Security officer halafu nimekandwa wee unadhani kanzi data unakaa kwa taasisi gani inataka kazi design iyooo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856] Yaani kauli ya mandonga imenihusu, Ndoige
Shukurani Sana kk, I hope nextCc😡Balozi limited
Kabisa kk [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeshafaulu mpka hapo ,Kuna ile just mention 5 point there is no need to explain[emoji23][emoji23]
TrueMkuu, katika kipindi ambacho hushauriwi kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe ni pale unapoona unapitia changamoto inayokupa msongo wa mawazo. Hii ni kwa sababu majibu mengi utakayojipa ni hasi na yatakayokuumiza.
Ukweli ni kwamba, kuhusu kanzi data mengi hayako wazi. Kwa mfano suala la mtu aliyefanya vizuri kwenye taasisi “A”, ni vigezo vipi vitatumika kumpelekea taasisi “B” kupitia kanzi data, hili wengi hutumia kujiongeza kupata majibu. Lakini kiuhalisia ni Utumishi wenyewe wanaojua kwa asilimia mia sababu wanazotumia.
Tafadhali, kuwa mvumilivu, endelea kuvuta subira. Wala usiumie sana, kwa sasa ni wakati wa wengine kupata, na kuna siku itafika ni wewe utakayepata na wengine watakuwa wamekosa.
#Wakati wako ukifika, hautahitaji hata kutumia nguvu nyingi, mambo yatakwenda kiulaini mpaka utashangaa.
😂😂😂😂Kabisa kk [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninachoona ukiitwa written soma vitu vingi Sana, kwasababu wanatoa vitu vidogovidogo ambavyo mtu hutegemei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Kuna vitu wanatoa pale mpaka unajiuliza mpka hili?Ninachoona ukiitwa written soma vitu vingi Sana, kwasababu wanatoa vitu vidogovidogo ambavyo mtu hutegemei
Zimamoto kwa utumishi huwezi toboaZima moto huwa ni dangerous Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Sidhani tuwe wakweli kama maswali umeyaelewa utajibu kwa confidence,kama hujui huwezi kuwa na confidence. Panelists hawawezi kukupa marks kwa kujibu uongo kwa confidence unless otherwise panelists hawajui wanachouliza.Yaaah, ukiwa hata unadanganya points Ila unaongea kwa kujiamini na sauti ya juu tena ya kusikika na Kila mtu inakuwa Mororo sana😁😁
Ahaha ila inategemeana ulipogusa na ubongo wako kuvuta points kwa haraka ss ndio utoboeZimamoto kwa utumishi huwezi toboa
😂😂😂😂Sidhani tuwe wakweli kama maswali umeyaelewa utajibu kwa confidence,kama hujui huwezi kuwa na confidence. Panelists hawawezi kukupa marks kwa kujibu uongo kwa confidence unless otherwise panelists hawajui wanachouliza.
Yes pia na bahati ya mtu tuAhaha ila inategemeana ulipogusa na ubongo wako kuvuta points kwa haraka ss ndio utoboe