Sio uongo typically kuna ule uongo unaendana na ukweli huo ndo tunaongelea na pia Kuna jibu unatoa yani hauna hakika kama ni sahihi au uongo ndicho tunakimaanishaSidhani tuwe wakweli kama maswali umeyaelewa utajibu kwa confidence,kama hujui huwezi kuwa na confidence. Panelists hawawezi kukupa marks kwa kujibu uongo kwa confidence unless otherwise panelists hawajui wanachouliza.
Kwakweli ukiwa umeelewa na point zipo utajibu kwa usahihi , na kwa confidence sana , ila hata Kama unajua swali ila point hazionekani ni za kuload Kama hakuna mtandao ni kazi sana ,,inakuwa inategemeana na kichwa chako kweny kuchambua vituSidhani tuwe wakweli kama maswali umeyaelewa utajibu kwa confidence,kama hujui huwezi kuwa na confidence. Panelists hawawezi kukupa marks kwa kujibu uongo kwa confidence unless otherwise panelists hawajui wanachouliza.
Kabisa angalau kinachoendana ,hapo ndipo unapoangalia ubongo wako kweny kufikiria kwa KasiSio uongo typically kuna ule uongo unaendana na ukweli huo ndo tunaongelea na pia Kuna jibu unatoa yani hauna hakika kama ni sahihi au uongo ndicho tunakimaanisha
ππππPale maswali huwa yanaeleweka sema point sasa ndo huwa hazipo yaniKwakweli ukiwa umeelewa na point zipo utajibu kwa usahihi , na kwa confidence sana , ila hata Kama unajua swali ila point hazionekani ni za kuload Kama hakuna mtandao ni kazi sana ,,inakuwa inategemeana na kichwa chako kweny kuchambua vitu
Mfn umeulizwa swali umelielewa ila majibu ni ya kuload Bora umwambie muuliza swali ,,pardon plezz ili ujipange kutafuta point za kuanzia
Yes yani sio utoe jibu ambalo hata uhusiano hamna afu useme wataangalia confidence πππKabisa angalau kinachoendana ,hapo ndipo unapoangalia ubongo wako kweny kufikiria kwa Kasi
Nadhani ipatikane dozi ya oral piaSema sasa humu tuanze kupeana kipi unahisi kimefanya mtu utoboe au kipi unahisi kimefanya ukwame kwenye oral interview,nafikiri hii itasaidia wengine kujisahihisha wakati mwingine
Oral kuna sehemu tunakwama nadhani ikipatikana soln yake watu watakuwa na uhakika sasaNadhani ipatikane dozi ya oral pia
UhakikaππππKijana wa hovyo sana hahhhhh Kwamba uzihumiliate mbususu hahhhh
Naqubal naqubal mie nazan waliotoboa ndio watatupa experience nzuri, yap yakufanya yepi yakutokufanya ndani ya oral za kawaida na za TA ,Sema sasa humu tuanze kupeana kipi unahisi kimefanya mtu utoboe au kipi unahisi kimefanya ukwame kwenye oral interview,nafikiri hii itasaidia wengine kujisahihisha wakati mwingine
Kama utaweza kuongea mpaka mkafanya majadiliano na panel ujue utawin, nilishawah kupata kazi private mara mbili baada ya majadiliano na panel, yaani swali moja wanakuongezea mengine kwenye swali Hilo hiloNaqubal naqubal mie nazan waliotoboa ndio watatupa experience nzuri, yap yakufanya yepi yakutokufanya ndani ya oral za kawaida na za TA ,
Maana kwa mtu alietoboa akikuelezea vzr ,utajitafakr kuangalia mapungufu yako yako wap ,ili next time uyaondoe
Mfano wewe umesema mtu anatakiwa aongezewe malipo Kama sehemu ya fidia kucheleweshwa, wakikuliza kuchelewa kwa mda gani, shilling ngap iongezewe, au kwanini ichelewe yaani maswali hayo uulizwe na mkajadili, hata Kama walisema mention dili lipo.Kama utaweza kuongea mpaka mkafanya majadiliano na panel ujue utawin, nilishawah kupata kazi private mara mbili baada ya majadiliano na panel, yaani swali moja wanakuongezea mengine kwenye swali Hilo hilo
Kweli nafikiri waliotoboa watueleze hapa walifΓ nya nini kwenye oral ili mtu ajue alikosea wapiNaqubal naqubal mie nazan waliotoboa ndio watatupa experience nzuri, yap yakufanya yepi yakutokufanya ndani ya oral za kawaida na za TA ,
Maana kwa mtu alietoboa akikuelezea vzr ,utajitafakr kuangalia mapungufu yako yako wap ,ili next time uyaondoe
Tatizo utumishi pale napo mpka mfikie hatu yakujadili ni mtihaniπππππMfano wewe umesema mtu anatakiwa aongezewe malipo Kama sehemu ya fidia kucheleweshwa, wakikuliza kuchelewa kwa mda gani, shilling ngap iongezewe, au kwanini ichelewe yaani maswali hayo uulizwe na mkajadili, hata Kama walisema mention dili lipo.
Wakisema mention ukawa unaijua point Ila umesahau neno moja la kuibeba iyo point, ukisema kitu kinachoongelea iyo point watakuuliza more ili wajiridhishe kweli unakijua Ila kidogo kumbukumbu imepungua ie pressure ya panel!Tatizo utumishi pale napo mpka mfikie hatu yakujadili ni mtihaniπππππ
Hizi nazani zinafanyika private labda kweny negotiations za salary ila kwa government Wana salary scale zao Maana ,hata kweny tangazo wanaweka na scale kabisaMfano wewe umesema mtu anatakiwa aongezewe malipo Kama sehemu ya fidia kucheleweshwa, wakikuliza kuchelewa kwa mda gani, shilling ngap iongezewe, au kwanini ichelewe yaani maswali hayo uulizwe na mkajadili, hata Kama walisema mention dili lipo.
Kweli hii nishawahi kukutana nayo usipo mention direct lazima wakuchallange kidogo kupima yaliyomo yamoπππππWakisema mention ukawa unaijua point Ila umesahau neno moja la kuibeba iyo point, ukisema kitu kinachoongelea iyo point watakuuliza more ili wajiridhishe kweli unakijua Ila kidogo kumbukumbu imepungua ie pressure ya panel!
Yes utumishi hawakuulizi salaryHizi nazani zinafanyika private labda kweny negotiations za salary ila kwa government Wana salary scale zao Maana ,hata kweny tangazo wanaweka na scale kabisa
Stage hii inatakiwa uchukue point 3 na goli 3!Kweli hii nishawahi kukutana nayo usipo mention direct lazima wakuchallange kidogo kupima yaliyomo yamoπππππ
ππππau sioStage hii inatakiwa uchukue point 3 na goli 3!