Sio uongo typically kuna ule uongo unaendana na ukweli huo ndo tunaongelea na pia Kuna jibu unatoa yani hauna hakika kama ni sahihi au uongo ndicho tunakimaanishaSidhani tuwe wakweli kama maswali umeyaelewa utajibu kwa confidence,kama hujui huwezi kuwa na confidence. Panelists hawawezi kukupa marks kwa kujibu uongo kwa confidence unless otherwise panelists hawajui wanachouliza.