Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Alafu Bora ingekua wakati hizo nafasi zinatoka zote kwa pamoja yule mtu Bado hajapata ajira walau ingemake sense,unakuta mtu yupo tayar kwenye payroll zaidi ya miez miwili au mitatu inamaana hawana namna ya kutrace wakaona kwamba huyu mtu tayar amereport kwingine wakasave nafasi kwa ajili ya wengine
 
Jamaa hawaeleweki...ila kwa kweli ingekua vzr mtu akipata sehem bs wasimrudie tena kwenye mikeka mingine asbrie aje aombe transfer
 
Wanazingua tu.

Huwa tunafanya multiple interview ili kuongeza probability ya kupata nafasi.

Mtu unapoomba nafasi tayari una nia ya kuitumikia endapo ukiipata, kwa mantiki hiyo ni vyema kila mtu akapangiwa nafasi moja na asiwe na chance ya kupata nafasi zingine alizozifanyia oral hata kama atafaulu ili na wengine wapate kwa wakati
 
Yeah ingekuwa mtu akipata Sehemu Moja basi awe hawezi kupata kwengine ndani ya kipindi flani
 
Hili swala utumishi wanapaswa kulifanyia kazi.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…