Hawapendi kupoteza muda kabisa, usishangae ukifukuzwaHivi wakuu, baada ya kukandwa pale joponi na Interview panel, ukitaka kuondoka si unaweza kuwaaga tu kwa KISWAHILI na utani kidogo.. kwamba Asantenk sana wakuu na maneno matammatam kama hayo ili kupozea maumivu kidogo ya mkando AU Kuna dhambi wakuu kufanya hvyo..?
😂😂Hawapendi kupoteza muda kabisa, usishangae ukifukuzwa
Na Ile utakuta swali limekugonga na washajua kuwa wamekukamata.. then wanakwambia jibu hata kwa KISWAHILI kama Ung'eng'e haipandi.. pale vipi mkuu panafaa kujifichia kujibu kwa KISWAHILI..Hawapendi kupoteza muda kabisa, usishangae ukifukuzwa
Hivi wakuu, baada ya kukandwa pale joponi na Interview panel, ukitaka kuondoka si unaweza kuwaaga tu kwa KISWAHILI na utani kidogo.. kwamba Asantenk sana wakuu na maneno matammatam kama hayo ili kupozea maumivu kidogo ya mkando AU Kuna dhambi wakuu kufanya hvyo..?
Sahihi kabisa kk watu wasikate Tamaa hata sisi wengne kupita kwenda oral tumefanya sahili Zaid ya 2 au Zaid ya 3 ya nne unajikuta unaenda oral , wengine wanatoa na wengne wanabaki..yote kwa yoteWakuu naomba kuwapongeza sana ambao mpaka sasa mumefanikiwa kupata ajira na kuleta shuhuda humu (kuonekana kwenye pdf ya placement au kupigiwa simu). Hakika mumekuwa faraja sana kwa wengine.
Lakini hasa naomba kuzungumza na kundi ambalo ni la watu waliofanya usaili mmoja au zaidi japo bahati mbaya hawajawahi hata kufika oral. Naamini inawezekana hata hizi shuhuda watu wakiwa wanazileta za kupata kazi, zikawa bado haziwapi faraja wakidhani zinawahusu hasa walioingia Oral na ndio wako kwenye hatua ya kusubiri. Tafadhalini sana, msiruhusu kukosa matumaini, kama imewezekana kwa wengine, na kwenu inawezekana, hakuna cha ajabu wanaopata walichowazidi zaidi ya muda wao kuwa umefika.
Ndugu zangu msife moyo, hamjakosa chochote, suala ni wakati wenu haukuwa umefika, hata hawa mnaowaona wanasherehekea placements wako wengi ambao walishindwa kufanya vizuri tena zaidi ya mara moja.
Kama muda huu muhusika ni wewe unayeusoma huu ujumbe, jikague upajue ulipokosea kipindi kilichopita, kisha fanya maandalizi vizuri, pokea ushauri na ufanyie kazi bila ya kufa moyo, nakuhakikishia kuna siku utakuja kuleta ushuhuda humu kwamba umefanikiwa kupata ajira Serikalini.
Kwa nyie wa TRA na wengine nawatakia kila la kheri kwenye kupambania mrija wa asali.
Hivi wakuu, baada ya kukandwa pale joponi na Interview panel, ukitaka kuondoka si unaweza kuwaaga tu kwa KISWAHILI na utani kidogo.. kwamba Asantenk sana wakuu na maneno matammatam kama hayo ili kupozea maumivu kidogo ya mkando AU Kuna dhambi wakuu kufanya hvyo..?
Umeeleza Kila kitu,Safi sanaKasome chuo chochote cha veta utapata cheti ila uwaambie kabisa veta leseni utatafuta mwenyewe . Ukishamakiza fatilia leseni kwa kuchakachua uwekewe daraja E, C1, C2, C3 NA D Ila hakikisha una umri wa maika 21+ pia utatoa hela defu kidogo ili kufanikisha hili, vilevile kuna vishoka wengi hakikisha unampata mtu mwaminifu. Ushauri ukishamaliza chuo veta maranyingi uwa wiki 5 au 6, ukimaliza tafuta mtu mwenye gari uwe unafanya mazoezi ya mara kwa mara maana hizo wiki 5 na 6 huwa hazitosh kabisa kuwa dereva mahiri. Ada ya udereva veta ni kati ya laki mbili hadi laki mbili na 60..inayegemea na mkoa..mikoani inaweza kuwa laki mbili tu ila dar laki mbili na 60 au 70 hivi (kwa dar kuna vyuo vya veta viwili kipawa karibu na Airport na changombe hawa wa changombe mafunzo yanafanyikiaga yombo buza. Sifa ni mtu yeyote aliyesoka hata asiyejua kusoma lakini ili upate ajira ya udereva serikalini lazima uwe na elimu ya kidato cha nne hivyo kama huku ajira portal uliweka vyeti vya chuo unatakiwa uvitoe vyote ubakishe cha form 4 na veta tu....jinsi ya kutoa mpaka uwasiliane na ajira portal wavitoe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mimi hio post ya Custom Officer nimeandikiwa kuwa sijawa shortlisted kwa sababu sijaweka Referees watatu, whereas ni kuwa profile yangu ina hao Referees watatu kwa muda mrefu sana.
Hapo kwenye kucheza nao siku nzima🤣🤣🤣🤣Hahahaha. Nimekuelewa mkuu, lengo lako ni zuri sana.
Japo kwa uzoefu wa maisha, unachokiona wewe ni utani, kinaweza kutafsiriwa na mwingine kuwa ni kitu cha serious sana ila umeamua kutumia njia ya utani kufikisha ujumbe, mishowe ukaishia kuwakera. Au maneno unayoyatazama kama ni matamu kwa mwingine yanaweza kuwa ni machungu.
Mimi nashauri hawa jamaa wa utumishi msiwafanyie utani kabisa, japo haimaanishi ndio mtu uwe serious kupitiliza, just behave kiofisi inatosha.
Na kama mtu atakuwa na hamu sana ya kuwatania Utumishi, asubiri jina lake kwanza liwe kwenye pdf ya placement, ndipo akienda kuchukua barua acheze nao hata siku nzima.
Piga simu watakuweka kwenye majina ya nyongezaMimi hio post ya Custom Officer nimeandikiwa kuwa sijawa shortlisted kwa sababu sijaweka Referees watatu, whereas ni kuwa profile yangu ina hao Referees watatu kwa muda mrefu sana.
Mtego huo....Na Ile utakuta swali limekugonga na washajua kuwa wamekukamata.. then wanakwambia jibu hata kwa KISWAHILI kama Ung'eng'e haipandi.. pale vipi mkuu panafaa kujifichia kujibu kwa KISWAHILI..
Asante saana mkuu nimesoma huu ujumbe nimepata faraja saanaWakuu naomba kuwapongeza sana ambao mpaka sasa mumefanikiwa kupata ajira na kuleta shuhuda humu (kuonekana kwenye pdf ya placement au kupigiwa simu). Hakika mumekuwa faraja sana kwa wengine.
Lakini hasa naomba kuzungumza na kundi ambalo ni la watu waliofanya usaili mmoja au zaidi japo bahati mbaya hawajawahi hata kufika oral. Naamini inawezekana hata hizi shuhuda watu wakiwa wanazileta za kupata kazi, zikawa bado haziwapi faraja wakidhani zinawahusu hasa walioingia Oral na ndio wako kwenye hatua ya kusubiri. Tafadhalini sana, msiruhusu kukosa matumaini, kama imewezekana kwa wengine, na kwenu inawezekana, hakuna cha ajabu wanaopata walichowazidi zaidi ya muda wao kuwa umefika.
Ndugu zangu msife moyo, hamjakosa chochote, suala ni wakati wenu haukuwa umefika, hata hawa mnaowaona wanasherehekea placements wako wengi ambao walishindwa kufanya vizuri tena zaidi ya mara moja.
Kama muda huu muhusika ni wewe unayeusoma huu ujumbe, jikague upajue ulipokosea kipindi kilichopita, kisha fanya maandalizi vizuri, pokea ushauri na ufanyie kazi bila ya kufa moyo, nakuhakikishia kuna siku utakuja kuleta ushuhuda humu kwamba umefanikiwa kupata ajira Serikalini.
Kwa nyie wa TRA na wengine nawatakia kila la kheri kwenye kupambania mrija wa asali.
Amina maandalizi mema mtaalamBaba katika Jina la Yesu Kristo uliye hai nami naenda kupokea kazi yangu serikalini kwa Jina Yesu.
Nitaleta ushuhuda humu
Utaratibu wa Ajira za Serikalini hasa sehem au vitengo nyeti ni lazima Ufanyiwe VETTING/Background checks.Sawa mkuu maana wengine tunaona taasisi zao zinawachelewesha Sana kuanza kazi mfano TRC waliitwa kazini March mwaka huu wakaripoti Ila wakaambiwa warudi nyumbani watapigiwa simu wamekuja kuitwa mwezi August kuanza kazi, so wamekaa home miezi 5 sijui inatokana na Nini hii Hali
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Duh nomaUtaratibu wa Ajira za Serikalini hasa sehem au vitengo nyeti ni lazima Ufanyiwe VETTING/Background checks.
Hili zoez ndio linakula muda sana, na vijana wengi hili hawalifahamu, na unaweza pata barua ya placement na kazi ukakosa vilevile.