usijarb kk utaitiwa walinzi wakupige makofi watu wapo kazin paleHivi wakuu, baada ya kukandwa pale joponi na Interview panel, ukitaka kuondoka si unaweza kuwaaga tu kwa KISWAHILI na utani kidogo.. kwamba Asantenk sana wakuu na maneno matammatam kama hayo ili kupozea maumivu kidogo ya mkando AU Kuna dhambi wakuu kufanya hvyo..?
Sahihi kabisa kk watu wasikate Tamaa hata sisi wengne kupita kwenda oral tumefanya sahili Zaid ya 2 au Zaid ya 3 ya nne unajikuta unaenda oral , wengine wanatoa na wengne wanabaki..yote kwa yote
Tusikate Tamaa kweny kupambana kwakwel
Hapo kwenye kucheza nao siku nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante sana mkuu...nitawapigia.Watafute kwa namba zao kuanzia jumatatu utarekebishiwa then utawekwa ktk majina ya nyongeza.
Hizo ni mistakes zao tu wanapofanya vetting. Wengi huwa inawatokea na wanarekebishiwa.
Endelea na kupiga msuli kabisa kwa ni uhakika kama hakuna dosari ktk hilo utaitwa tu.
Writtn hua ni multiple choice 50 na ni language zote,php,java,c++,python,js,angular, jquery soma vyote framework hizo pita vzrJamani ndugu zangu nimeitwa interview ya TRA naomba msaada wa mtu yoyote mwenye maswali ya ICT officer (developer/programmer) anitumie PM , atakama unamjua mtu aliye wai kufanya interview kwenye kada usika naomba unipatie connection natanguliza shukurani.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Hivi kuwatafuta unawapgia simu au unawafuata?Watafute kwa namba zao kuanzia jumatatu utarekebishiwa then utawekwa ktk majina ya nyongeza.
Hizo ni mistakes zao tu wanapofanya vetting. Wengi huwa inawatokea na wanarekebishiwa.
Endelea na kupiga msuli kabisa kwa ni uhakika kama hakuna dosari ktk hilo utaitwa tu.
Wapigie simu,ila kama upo karibu nenda ofisiniHivi kuwatafuta unawapgia simu au unawafuata?
Jamani ndugu zangu nimeitwa interview ya TRA naomba msaada wa mtu yoyote mwenye maswali ya ICT officer (developer/programmer) anitumie PM , atakama unamjua mtu aliye wai kufanya interview kwenye kada usika naomba unipatie connection natanguliza shukurani.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Tafuta uzi wenye jina hiliJamani ndugu zangu nimeitwa interview ya TRA naomba msaada wa mtu yoyote mwenye maswali ya ICT officer (developer/programmer) anitumie PM , atakama unamjua mtu aliye wai kufanya interview kwenye kada usika naomba unipatie connection natanguliza shukurani.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Nimeuliza si kwa ajili yangu, mimi hiyo option ilishapita kitambo.Dah kaka umri wako
ila sikukatishi tamaa hakuna vigezo vingi kwa Daresalaam ni kujua kusoma na kuandika kwa watu wa basic driving
Hiyo ndio level ya kwanza kabisa ya UDEREVA brother
Vyuo vya Veta Chang'ombe Ada ni 230,000/= kwa hiyo basic
Ila kama teyar ni dereva labda unataka kusomea psv, truck au VIP hapo angalau sawa.
Hakikisha unakata leseni mwenyewe na cheti cha basic na cha form four muhimu kwenye mrija wa asali wa serikali
Daraja la leseni lenye soko la ajira ni C,C1 na E
Sehem/vitengo nyeti Kama vip ???Utaratibu wa Ajira za Serikalini hasa sehem au vitengo nyeti ni lazima Ufanyiwe VETTING/Background checks.
Hili zoez ndio linakula muda sana, na vijana wengi hili hawalifahamu, na unaweza pata barua ya placement na kazi ukakosa vilevile.
Wizy nazan anamawazo balaaa wakt jambo la kawaida tu kukosa ,zen una move onWizy mpka sahizi hajaonekana yupo salama kweli?
Ndiyo hata online haonekani kabisaWizy nazan anamawazo balaaa wakt jambo la kawaida tu kukosa ,zen una move on
Kbsa hutakiwi kua stressed sn ukikosa unaumia kiasi then unapotezea maisha yaendlee mbeleWizy nazan anamawazo balaaa wakt jambo la kawaida tu kukosa ,zen una move on
Kweli aisee ni bora angeingia huku tupate walau muda wa kuingea kuliko kukaa mtu peke yako unawaza tuKbsa hutakiwi kua stressed sn ukikosa unaumia kiasi then unapotezea maisha yaendlee mbele
Ndiyo hata online haonekani kabisa
Online yupo ila anasoma tu kimya kimyaNdiyo hata online haonekani kabisa
Shukrani [emoji1488]Amina maandalizi mema mtaalam