Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

@wizy kama ameamua kukimbia jukwaa ama kwa kukanda au kukandwa atatutia aibu wanaume tunaopaswa kupambana hadi tone la mwisho jasho.

Tuendelee kumsubiri huenda akaja, asipokuja au aje na utambulisho mpya napo sio mbaya, wengine tuendelee na harakati za kuusaka mrija wa Asali kama kawaida
 
@Mwifwa mjulie hali jamaa Ako wizy tujue alipo au kaenda QATAR kuwasapot Morocco
 
Nakubali mwifwa mapambano mpaka dakka ya mwisho mpk utumbukie kwenye grid ya taifa ya Asali
 
Furha ya kupata kz hua ni kubwa nahisi lzm angekuja kusema huku...nahisi anaugulia mkando...kukandwa ni ktk maisha pia kikubwa uvumilivu t
 
Furha ya kupata kz hua ni kubwa nahisi lzm angekuja kusema huku...nahisi anaugulia mkando...kukandwa ni ktk maisha pia kikubwa uvumilivu t
Mimi nadhan kuna sababu nyingine tu yaweza kuwa kaibiwa simu au yupo busy na mishe nyingine au bando changamoto lakin nimjuavyo wizy hata kama amekandwa angesema tu
 
Kuna kila ishara lolote analopitia wizy liwe ni zuri au baya, litakuwa ni kubwa mpaka liko nje ya uwezo wake.

Tuendelee kuvuta subira, askari wetu atarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…