Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
@wizy kama ameamua kukimbia jukwaa ama kwa kukanda au kukandwa atatutia aibu wanaume tunaopaswa kupambana hadi tone la mwisho jasho.Mwamba itakuwa kalamba shamvu kaona ajitenge nasi....ila Wizy unachotufanyia sio poa uwe umekanda au umekanda njoo kundini tuendelee kupenaa moyo. Mie nimekandwa zaidi ya mara 3 oral na bado napambana tu sijakata tamaa sema nafasi nazoingiaga oral utakuta inahitaji mtu 1 so ushindani ni mkubwa lakini siwezi kukata tamaa.....na kwenye usaili wa written kwenda oral ndio nimekula NDOIGE za kufa mtu ila bado sijakata tamaa sasa nina miaka 30+ , kama sijapata kazi Serikali nitaendelea kuomba kazi mpaka nitakapofika miaka 45 ambayo ndio umri wa mwisho serikalini.
Tuendelee kumsubiri huenda akaja, asipokuja au aje na utambulisho mpya napo sio mbaya, wengine tuendelee na harakati za kuusaka mrija wa Asali kama kawaida