jaman pengine hata bando limekata,mpeni muda tu@wizy kama ameamua kukimbia jukwaa ama kwa kukanda au kukandwa atatutia aibu wanaume tunaopaswa kupambana hadi tone la mwisho jasho.
Tuendelee kumsubiri huenda akaja, asipokuja au aje na utambulisho mpya napo sio mbaya, wengine tuendelee na harakati za kuusaka mrija wa Asali kama kawaida
Mi nahisi wote mliofanya inasoma ivyo au iwe wote mlioandikiwa selected for null mumepita oral wakafanya vetting kulingana na nafasi labda mtu 1 akachukuliwa kulingana na ufinyu wa nafasi wengine mtakaa database make kuna yenye selected for null green na not selected for null red sasa unaweza kuta kada mumefaulu wote watafanyajeLakini status yake si alisema inasoma SELECTED FOR NULL
Hataki kutoa mrejeshoUna jua jamaa anatuchanganya sana mtu tumeanza wote mapambano haya then gafla tu hakuna kinachoeleweka juu yake daah
Lina marksHv Lile swali la kwanza la kujitambulisha kwenye Oral interview Lina marks kweli.. au marks zinakuwa kwenye Yale maswali ma4 mengine..?
Mkuu nenda majengo chini kule karibu na Aim mall.Kuna jamaa pale wanakusimamishia kuuliza gari zote,japo kwa muda huo ni changamoto waweza kosa.Msaada
Kwa mzoefu wa safari za Arusha-Dom wapi naweza pata private ijumaa kuanzia saa 11 jioni.
Wizy alivuta attention ya wengi kwenye huu Uzi hvyo tulitamani kujua matokeo yake kama mazuri tusherekee pamoja kama sio mazuri pia tufarijiane pamoja,ila pia nadhani tumuache ana haki ya uhuru wake binafsi tumpe muda akiona inafaa ataungana nasiKwa nature ya humu Ndani.. inaonesha vijana tuna presha sana kwenye kusubiria placements kuliko presha ya kwenye interviews, written and Oral.
Wale watu wa karibu na wizy tuambieni Huyu jamaa Yuko wapi Sasa maana kimya sana na alikuwa anafurahisha genge hapa.
Watafute wakuweke kwenye majina ya nyongezaYes, na nimewahi kuwa shortlisted kwenye interviews kadhaa kwa profile hiyo hiyo.
Pole Sana kijana, wakat wako ukifika utapata sehemu nzur zaid!Daah kweli inaumiza sana kukandwa, asikwambie mtu haya maumivu uyasikie tu kwa wengine.. Mimi ni mmojawapo niliyekandwa yaani inauma hatari. Wizy aje tuu tufarijiane...
Pole sana ndugu,ni swala la muda tu mafanikio yapo karibuDaah kweli inaumiza sana kukandwa, asikwambie mtu haya maumivu uyasikie tu kwa wengine.. Mimi ni mmojawapo niliyekandwa yaani inauma hatari. Wizy aje tuu tufarijiane...
Hio miez saba ni kweli au umetia ndimu n chumvi?Guys mue na moyo mgumu wa chuma ukikosa placement kuna kanzi data na wengi wamepata.....just imagine wengine tunasubiri matokeo ya placement kwa miezi saba! Sometimes tunahisi labda matokeo yamefutwa lakini tunajipa tu moyo
Hiyo kawaida tu, nishaona taasisi nyingine hadi miezi tisa inapita!Hio miez saba ni kweli au umetia ndimu n chumvi?