Mmmh acha masikhara mkuu,, miezi Saba Ina maana ulifanya Usaili lini na ni kada gani hyo...?Guys mue na moyo mgumu wa chuma ukikosa placement kuna kanzi data na wengi wamepata.....just imagine wengine tunasubiri matokeo ya placement kwa miezi saba! Sometimes tunahisi labda matokeo yamefutwa lakini tunajipa tu moyo
@wizy popote ulipo tunakuomba urudi.Uzi umepooza na kila mtu kushikwa na butwaa kihusu mwenzetu Wizy kutikuja amepatwa na nini kama ni kukosa mrija hilo ni jambo la kawaida na huenda mungu amempangia sehemu njema zaidi ya ile,,,huko uliko wizy kama umefanikiwa hongera kama hakuna basi tunaamini siyo mwisho wa mapambano
Ety wadau(hv physical appearance pia Ina mchango wowote wa marks ..?
Yaana the way ulivyovaa na muonekano wako wote kwa ujumla.. Nazungumzia kwenye Oral interview
Nipeni tips hapo wakulungwa
Kuvaa kiheshima hasa kiutumishi ni muhimu sana.Ety wadau(hv physical appearance pia Ina mchango wowote wa marks ..?
Yaana the way ulivyovaa na muonekano wako wote kwa ujumla.. Nazungumzia kwenye Oral interview
Nipeni tips hapo wakulungwa
U said it All man👊@wizy popote ulipo tunakuomba urudi.
Riziki ipo, kila mmoja wetu amekadiriwa riziki yake na muumba wake na hauwezi kuondoka juu ya mgongo wa ardhi kabla haujaichakata riziki yako.
Mtihani tulioachiwa ni njia za namna ya kuichuma hiyo riziki na kila mmoja atatumia njia yeyote ile ili aweze kuchuma riziki yake.
Wengi wetu kwenye uzi tumeona njia bora ya kuiendea riziki ni kupambana na PSRS ingawa kuna njia lukuki ambazo tunaweza kupita nazo na tukafanikiwa.
Katika hizi njia kuna mabonde, miinuko, tambarare, visiki, matope, utelezi[emoji3][emoji3](sio ule lakini) ambavyo vinafanya pawe na changamoto mbalimbali tunazopaswa kuzikabili ili tuweze kupita.
Mtu unakandwa mara kadhaa, hapo umekumbana na miinuko, matope, visiki. Ili uweze kupita lazima ukae chini ubuni mbinu za kuzitumia mwishowe unapita (unafika oral)
Mwingine anapitia njia ya utelezi/mserereko(written 1 tu kawakanda, oral 1 tu kawakanda).
Tunapitishwa katika hizo njia zote na mgawa riziki huku akiwa na maana yake yeye pekee(kama maana ya mabadiliko ya status baada ya oral kutokana na programming kama anavyosemaga wizy ).
Hivyo basi tunapaswa kushukuru kwa jambo lolote lile maana kila jambo hutokea likiwa na sababu yake kwani unaweza kulalamika kuhusu kitu fulani kumbe umeepushwa na shari.
Tuwe na subira, tumtangulize Muumba/mgawa riziki.
Asante nitajaribu bila shaka ni Majengo chini.Mkuu nenda majengo chini kule karibu na Aim mall.Kuna jamaa pale wanakusimamishia kuuliza gari zote,japo kwa muda huo ni changamoto waweza kosa.
Me nimewahi sota hapo kuanzia saa kumi mpaka saa moja na nusu ndo nikapata lori na safari ni usiku very risk
Kwa kujazia hiyo hasa uvae kwenye OralKuvaa kiheshima hasa kiutumishi ni muhimu sana.
Hivi ukivaa kama msanii, macheni kama yote, jinsi umetoboka toboka, chini raba kubwa, masikioni hereni si watakuona kituko!!
Kila sehemu kuna dressing code yake, PSRS nenda na dressing code ya kiutumishi, ikiwezekana tumia sample ya mavazi yaliyokwenye muongozo wa mawazi ya watumishi wa umma(kuna picha zimebandikwa kwenye ofisi mbalimbali za umma)
Akina Prok wakipigilia dressing code ya kiuanasheria, walitokelezea vizuri sana
Ety wadau(hv physical appearance pia Ina mchango wowote wa marks ..?
Yaana the way ulivyovaa na muonekano wako wote kwa ujumla.. Nazungumzia kwenye Oral interview
Nipeni tips hapo wakulungwa
Hapo ni kwenye oral mkuu, written ni uwanja wa fujo kule nenda kivyovyote vileKwa kujazia hiyo hasa uvae kwenye Oral
Akose kivip wakat keshapata kaz bado barua tuWizy nazan anamawazo balaaa wakt jambo la kawaida tu kukosa ,zen una move on
Labda mwakani,tuwe wapole tuzid kukaza msuliMDAs na LGAs wametusahau.jamani Kwa kada nyinginezo.
Tunawakandaaaa kwa jina la Yesu.Hata mimi naona ,ngoma hii ni mwakani kabisa.Ngoja tupambane na mamishe ya mtaani,wakati tukisubiria mkando ndoige au kuwakanda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkando WA oral unaitwa peresuperesu
Kwan alikua anasubr placement??? Si alikua anasubr barua kama sikosei au?Namsubiri tu humu humu mkuu
Kwan alikua anasubr placement??? Si alikua anasubr barua kama sikosei au?
Anhaaa nimekumbuka sasa bas itakua nilichanganya,i though anasubr kupewa baruaPlacement I guess
Alikuwa anasubiri placement ya ORCIKwan alikua anasubr placement??? Si alikua anasubr barua kama sikosei au?
Dah jmn namuombea arudi aje atupe mrejesho uwe mzur au mbaya yote ni maisha.Alikuwa anasubiri placement ya ORCI