Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mambo ya bwana wizy haya jobless aliekula kona [emoji1787][emoji1787]
Ametudissapoint sana, placement yao hatujapata mrejesho wowote, wizy alikuwa tumaini la mrejesho ila ndio ikawa hivyo, haijulikani kilichomkuta na wengine waliopata mrija huenda hawapo humu.

Huwa tunafarijika sana tukipata mrejesho maana inatupa moyo wa subira na kupambana zaidi.
 
Wizy alikua na ORCI na ADEM nadhani huenda huu mkeka akawemo.
 
Hongera Sana mkuu kila la kheri kwenye utumishi wa umma

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Maswali ya oral yalikuaje mkuu mweka ukiacha yale ya fani yako husika
Swali ambalo nahisi kwako linaweza apply ni kama ni katika Academic post ni kuhusu Importance of research in teaching na Kwa nini wakuchukue wewe na si wengineo. Mengineo yalikua ni specific kwa fani yangu. Labda lile swali la kwanza kuhusu your background pia litakuhusu
 
Poa mkuu pamoja
 
Hongera sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…