Nimeamini Maisha ni duara jana tu nilikuwa nasubiria Placements lakini baada ya kupigwa NDOIGE sasa nasubiria Advertisement.
Kwanini tusiwe na shukrani kwa Muumba kwa kutujalia kuwa na package kamili kwenye huu msafara.Njoo nikuandalie affidavit chaap, halafu husirudi humu kushuhudia Prok ni nan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usikate tamaa mkuu, bado kuna databaseNimeamini Maisha ni duara jana tu nilikuwa nasubiria Placements lakini baada ya kupigwa NDOIGE sasa nasubiria Advertisement.
Pole sana mkuu, riziki yako ipo utaifikia tu muda ukifikaHongera saba Cvez kwa kuingia katika mrija wa asali.......ndugu zangu eeeh , ADEM wamenipa za USO. Ila hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke
Bado hazijaishaHivi placement za August na September si zimeeisha
tuanze sasa kukodoleea macho placement za October au bado??
Huu uzi una wataalam wa kila ainaKwanini tusiwe na shukrani kwa Muumba kwa kutujalia kuwa na package kamili kwenye huu msafara.
Mapambano ya mrija wa Asali yaendelee
Kwa hiyo kwa kifupi...Kiukweli bila kutia neno ntakuwa muongo..Mimi nipo humu MDA mrefu ila sio mtu wa kuchati sana ila huwa nasoma comment..Namshukuru Mungu Leo na Mimi nimepata kazi wakuu...
Kiukweli kuhusu status ni hivini mefanya oral Saba toka 2020 ambapo katika oral Saba mbili ndio nilikuwa nasubiria majibu ambapo katika app ndio inasema kweli ziliandika selected for null green.
katika oral za nyuma niliingia database zinasema selected for practical and selected for oral na nilizopigwa za kichwa oral mbili zinaandika red not selected for null..ni hayo TU wadau tusife moyo hakuna juhudi zisizokuwa na matokeo
Sorry nilimaanisha "Selected for null"Kwa hiyo kwa kifupi...
SELECTED FOR ORAL (Green) kwenye app maana yake ujiandae kujiona pdf
Si ndio mkuu?[emoji38][emoji38]
Japokua hizi status mimi sikuwa naziamini tena
Mimi kuna oral nilifanya 2020, sikupata ilikua nafasi ya mtu mmoja.Sorry nilimaanisha "Selected for null"
Status hazina maanaMimi kuna oral nilifanya 2020, sikupata ilikua nafasi ya mtu mmoja.
Kwenye app mpaka leo inaandika "SELECTED FOR NULL'
Hapa tunasemaje?
Sijakuelewa hapa kaka. Mie cheti cha form 4, form 6 na chuo vyote ni majina mawili tu hakuna initial wala nini katikati yaani linasomeka JANUARY YUSUPH. Ila Nida na cheti cha kuzaliwa majina matatu yaani JANUARY YUSUPH MAKAMBA. lakini sijawai zuiwa hata mara moja iwe oral au writtenKama chuo wanazingatia NIDA na Cheti cha Kuzaliwa ambapo penye initial ya katikati(Samia S Hangaya) wao wanaiandika kwa kirefu(Samia Suluhu Hangaya), kwa nini aliyetumia majina mawili(Samia Suluhu) kwenye cheti cha shule(form 4 na 6) huwa hawaongezi jina la tatu(Samia Suluhu Hangaya) ambalo huwa lipo kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa?
Km ilikuwa taasisi nono mtoto wa politician aalipindua meza hapo.Status hazina maana
Pole snaa mkuuKm ilikuwa taasisi nono mtoto wa politician aalipindua meza hapo.
Shukrani
Alieomba group la TAX MANAGEMENT hilo hapo
Ishatoka nimekandwa mkuu hahah naendlea kupambana
Ishatoka nimekandwa mkuu hahah naendlea kupambana
Naamini utakuwa kanzidata,utaitwa tu mkuuIshatoka nimekandwa mkuu hahah naendlea kupambana
Niliwahi ona case humu nahofia tarehe 17 wakanizingua na mimiKwanza, ilikuwaje cheti cha chuo kikawa na majina tofauti na vyeti vya shule? maana Admission ya chuo tunatumia vyeti vya shule hasa form 4 ambapo cha Six nacho kinafuata majina ya Form 4.
Suluhisho:
Nenda mahakamani/kwa mwanasheria kaandikiwe kiapo cha kuelezea huo mkanganyiko
Haina shida hiiNiliwahi ona case humu nahofia tarehe 17 wakanizingua na mimi
Jina cheti 4 na 6 liwe labda Punje Haradari
Jina la kitambulisho cha mpiga kura na kwenye address zote za utumishi liwe Punje Haradari Mkandwaji
Kwenye cheti cha kuzaliwa Punje Haradari
Na kwenye majina ya mzazi kwenye cheti cha kuzaliwa ni Haradari Uredi ( Mkandwaji halipo)