Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kiukweli bila kutia neno ntakuwa muongo..Mimi nipo humu MDA mrefu ila sio mtu wa kuchati sana ila huwa nasoma comment..Namshukuru Mungu Leo na Mimi nimepata kazi wakuu...
Kiukweli kuhusu status ni hivini mefanya oral Saba toka 2020 ambapo katika oral Saba mbili ndio nilikuwa nasubiria majibu ambapo katika app ndio inasema kweli ziliandika selected for null green.

katika oral za nyuma niliingia database zinasema selected for practical and selected for oral na nilizopigwa za kichwa oral mbili zinaandika red not selected for null..ni hayo TU wadau tusife moyo hakuna juhudi zisizokuwa na matokeo
Kwa hiyo kwa kifupi...
SELECTED FOR ORAL (Green) kwenye app maana yake ujiandae kujiona pdf

Si ndio mkuu?[emoji38][emoji38]

Japokua hizi status mimi sikuwa naziamini tena
 
Kama chuo wanazingatia NIDA na Cheti cha Kuzaliwa ambapo penye initial ya katikati(Samia S Hangaya) wao wanaiandika kwa kirefu(Samia Suluhu Hangaya), kwa nini aliyetumia majina mawili(Samia Suluhu) kwenye cheti cha shule(form 4 na 6) huwa hawaongezi jina la tatu(Samia Suluhu Hangaya) ambalo huwa lipo kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa?
Sijakuelewa hapa kaka. Mie cheti cha form 4, form 6 na chuo vyote ni majina mawili tu hakuna initial wala nini katikati yaani linasomeka JANUARY YUSUPH. Ila Nida na cheti cha kuzaliwa majina matatu yaani JANUARY YUSUPH MAKAMBA. lakini sijawai zuiwa hata mara moja iwe oral au written
 
Kwanza, ilikuwaje cheti cha chuo kikawa na majina tofauti na vyeti vya shule? maana Admission ya chuo tunatumia vyeti vya shule hasa form 4 ambapo cha Six nacho kinafuata majina ya Form 4.

Suluhisho:

Nenda mahakamani/kwa mwanasheria kaandikiwe kiapo cha kuelezea huo mkanganyiko
Niliwahi ona case humu nahofia tarehe 17 wakanizingua na mimi

Jina cheti 4 na 6 liwe labda Punje Haradari

Jina la kitambulisho cha mpiga kura na kwenye address zote za utumishi liwe Punje Haradari Mkandwaji

Kwenye cheti cha kuzaliwa Punje Haradari

Na kwenye majina ya mzazi kwenye cheti cha kuzaliwa ni Haradari Uredi ( Mkandwaji halipo)
 
Haina shida hii
 
Back
Top Bottom