Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Wewe unasubiri kanzidata
Nimeamini Maisha ni duara jana tu nilikuwa nasubiria Placements lakini baada ya kupigwa NDOIGE sasa nasubiria Advertisement.