Hapo mimi sijui sasa,nimejibu ninavyojua tuKama chuo wanazingatia NIDA na Cheti cha Kuzaliwa ambapo penye initial ya katikati(Samia S Hangaya) wao wanaiandika kwa kirefu(Samia Suluhu Hangaya), kwa nini aliyetumia majina mawili(Samia Suluhu) kwenye cheti cha shule(form 4 na 6) huwa hawaongezi jina la tatu(Samia Suluhu Hangaya) ambalo huwa lipo kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa?
Asilimia nyingi vyeti vyetu vya chuo viko kama vya jamaa, chuo wanatumia majina yote matatu kwenye cheti ila cheti cha olevel na Alevel wanatumia majina mawili na la kati likiwa placed kama initial...haina tatizo hio na hatosumbuliwa popote jambo la kawaida tu.Ni sahihi hujanielewa. Ila maelezo yako ni sahihi hata mimi vyeti vya shule, chuo, usajili vyote vina majina 2 ila cha kuzaliwa na NIDA ni majina 3. Na sijawahi kusumbuliwa popote.
Sasa maelezo yangu yalikuwa hivi nilipokuwa namhoji huyo jamaa:
Yeye amedai kuwa cheti cha chuo kinasomeka hivi: SAMIA SULUHU HANGAYA. Ambapo ni sawa na NIDA na kuzaliwa.
Halafu vyeti vya shule(form 4 na 6) vinasomeka hivi: SAMIA S HANGAYA, je umeona utofauti?
Sasa mimi nikahoji hivi:
Ukiwa unafanyiwa Admission chuo huwa wanatumia vyeti vya shule form 4 na 6(hapa mara nyingi wanatumia namba ya mtihani maana vyeti vinakuwa bado havijakamilika), kwa mantiki hiyo jina kwenye cheti cha chuo lazima lifanane na la kwenye vyeti vya shule(form 4 na 6).
Sasa huyo jamaa, vyeti vya shule na chuo vina utofauti wa majina kama nilivyotolea mfano hapo juu.
Ndio nikahoji kuwa, ilikuwaje chuo watumie jina la NIDA na kuzaliwa badala la kwenye vyeti vya shule ambapo taarifa zake zipo NECTA maana ukisearch namba ya mtihani inakuletea jina kamili.
Sijui umenielewa?
I receve 😀😀😀Sio kila mtu kaandikiwa selected for null ila pengine post inataka mtu 1 halafu mumepita 5 nahisi ndo inaandika selected for null halafu wanamchagua mmoja pengine unakua kanzidata mawazo yangu
Placement za september bado hazijaisha, mojawapo MNHNaona placements za Mwezi September/October zimeisha, Sasa zinakuja za Mwezi November zikimalizia na Desember
Lakini katika yote sijawahi sikia " not selected " kapata kazi...nikipata ushuhuda huu ntapigia mstari status hazina maana.Prok kalishwa matango pori mzee
Na mimi sijawahi sikia. Ndo maana nmepigilia mstari tu. Sema nmedoubt maelezl kuhusu land officer[emoji23]Lakini katika yote sijawahi sikia " not selected " kapata kazi...nikipata ushuhuda huu ntapigia mstari status hazina maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kipi bora utumishi wangekua wanatoa list ya waliopita kwenye oral kisha michakato ya kuita kwa ajili ya kazi ikafuata au bora hivi placement intok na kureport kazini hakuchukui muda mrefPlacement za september bado hazijaisha, mojawapo MNH
Una mda gani toka ufanye hio oral ya land officer?Na mimi sijawahi sikia. Ndo maana nmepigilia mstari tu. Sema nmedoubt maelezl kuhusu land officer[emoji23]
Mnoo aisee..Prok kalishwa matango pori mzee
Tangu mwezi wa 5
Nyie inabidi tu nifungue duka Kariakoo nkimalizana na interview ya TRA, nisahau kabisa utumishi. Nkipataga iwe surprise tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnoo aisee..
Alafu dizaini connection yake ni ya watu wa DSTV flani ivi..hahaa joking.
Usiku mwema
Itatoka hio we subiri tu unless kama kuna wenzako uliofanya nao oral washapigiwa simu. Mnawasiliana kwanza??Tangu mwezi wa 5
Alafu unapokata tamaa ndo unafanikiwa sasa.Nyie inabidi tu nifungue duka Kariakoo nkimalizana na interview ya TRA, nisahau kabisa utumishi. Nkipataga iwe surprise tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waliitwa kimya kimya nliishia kuona tu barua statusItatoka hio we subiri tu unless kama kuna wenzako uliofanya nao oral washapigiwa simu. Mnawasiliana kwanza??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema mimi maisha ya mikiki mikiki mpaka sasa nmezoea. Ata nisipopata ni poa tuAlafu unapokata tamaa ndo unafanikiwa sasa.
Mimi written yangu ya mwisho ndo nimetoboa kwenda oral.
Alafu oral nikapuyanga sana tu lkn you know what niko very excited na matokeo nione nani ametusua yale maswali yalionitoa kamasi.
Hizo mbugmngi mbili nikikosa basi natulia kidogo kwa mwaka then naanza tena inshallah
Anhaa kumbe walishaitwa, sasa hapo hope for database, subiri na hzo zingine na endelea kufanya sahili zingine.Waliitwa kimya kimya nliishia kuona tu barua status
Sasa kwa nini utulie mwaka??Alafu unapokata tamaa ndo unafanikiwa sasa.
Mimi written yangu ya mwisho ndo nimetoboa kwenda oral.
Alafu oral nikapuyanga sana tu lkn you know what niko very excited na matokeo nione nani ametusua yale maswali yalionitoa kamasi.
Hizo mbugmngi mbili nikikosa basi natulia kidogo kwa mwaka then naanza tena inshallah
Najipa muda kidogo shehk. Nahisi ado itumishi wamenichoka sasa wanashindwa tu kuniambia
Kama huna sababu reasonable fanya kila interview...mambo ya kupumzika achana nayo.Najipa muda kidogo shehk. Nahisi ado itumishi wamenichoka sasa wanashindwa tu kuniambia
Senior jobless
Nimekusoma kaka MWIFWA....bila shaka wewe ni muhenga mwenzangu [emoji3][emoji3][emoji3] maana enzi zetu walimu walikuwa wanapenda kutumia majina mawili tu ila siku hizi NECTA hawakubali majina mawili ni lazima matatu full au la kati liwe na initial.Ni sahihi hujanielewa. Ila maelezo yako ni sahihi hata mimi vyeti vya shule, chuo, usajili vyote vina majina 2 ila cha kuzaliwa na NIDA ni majina 3. Na sijawahi kusumbuliwa popote.