Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama chuo wanazingatia NIDA na Cheti cha Kuzaliwa ambapo penye initial ya katikati(Samia S Hangaya) wao wanaiandika kwa kirefu(Samia Suluhu Hangaya), kwa nini aliyetumia majina mawili(Samia Suluhu) kwenye cheti cha shule(form 4 na 6) huwa hawaongezi jina la tatu(Samia Suluhu Hangaya) ambalo huwa lipo kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa?
Hapo mimi sijui sasa,nimejibu ninavyojua tu
 
Ni sahihi hujanielewa. Ila maelezo yako ni sahihi hata mimi vyeti vya shule, chuo, usajili vyote vina majina 2 ila cha kuzaliwa na NIDA ni majina 3. Na sijawahi kusumbuliwa popote.

Sasa maelezo yangu yalikuwa hivi nilipokuwa namhoji huyo jamaa:

Yeye amedai kuwa cheti cha chuo kinasomeka hivi: SAMIA SULUHU HANGAYA. Ambapo ni sawa na NIDA na kuzaliwa.

Halafu vyeti vya shule(form 4 na 6) vinasomeka hivi: SAMIA S HANGAYA, je umeona utofauti?

Sasa mimi nikahoji hivi:

Ukiwa unafanyiwa Admission chuo huwa wanatumia vyeti vya shule form 4 na 6(hapa mara nyingi wanatumia namba ya mtihani maana vyeti vinakuwa bado havijakamilika), kwa mantiki hiyo jina kwenye cheti cha chuo lazima lifanane na la kwenye vyeti vya shule(form 4 na 6).

Sasa huyo jamaa, vyeti vya shule na chuo vina utofauti wa majina kama nilivyotolea mfano hapo juu.

Ndio nikahoji kuwa, ilikuwaje chuo watumie jina la NIDA na kuzaliwa badala la kwenye vyeti vya shule ambapo taarifa zake zipo NECTA maana ukisearch namba ya mtihani inakuletea jina kamili.

Sijui umenielewa?
Asilimia nyingi vyeti vyetu vya chuo viko kama vya jamaa, chuo wanatumia majina yote matatu kwenye cheti ila cheti cha olevel na Alevel wanatumia majina mawili na la kati likiwa placed kama initial...haina tatizo hio na hatosumbuliwa popote jambo la kawaida tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie inabidi tu nifungue duka Kariakoo nkimalizana na interview ya TRA, nisahau kabisa utumishi. Nkipataga iwe surprise tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu unapokata tamaa ndo unafanikiwa sasa.

Mimi written yangu ya mwisho ndo nimetoboa kwenda oral.

Alafu oral nikapuyanga sana tu lkn you know what niko very excited na matokeo nione nani ametusua yale maswali yalionitoa kamasi.

Hizo mbugmngi mbili nikikosa basi natulia kidogo kwa mwaka then naanza tena inshallah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema mimi maisha ya mikiki mikiki mpaka sasa nmezoea. Ata nisipopata ni poa tu
 
Alafu unapokata tamaa ndo unafanikiwa sasa.

Mimi written yangu ya mwisho ndo nimetoboa kwenda oral.

Alafu oral nikapuyanga sana tu lkn you know what niko very excited na matokeo nione nani ametusua yale maswali yalionitoa kamasi.

Hizo mbugmngi mbili nikikosa basi natulia kidogo kwa mwaka then naanza tena inshallah
Sasa kwa nini utulie mwaka??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sahihi hujanielewa. Ila maelezo yako ni sahihi hata mimi vyeti vya shule, chuo, usajili vyote vina majina 2 ila cha kuzaliwa na NIDA ni majina 3. Na sijawahi kusumbuliwa popote.

Sasa maelezo yangu yalikuwa hivi nilipokuwa namhoji huyo jamaa:

Yeye amedai kuwa cheti cha chuo kinasomeka hivi: SAMIA SULUHU HANGAYA. Ambapo ni sawa na NIDA na kuzaliwa.

Halafu vyeti vya shule(form 4 na 6) vinasomeka hivi: SAMIA S HANGAYA, je umeona utofauti?

Sasa mimi nikahoji hivi:

Ukiwa unafanyiwa Admission chuo huwa wanatumia vyeti vya shule form 4 na 6(hapa mara nyingi wanatumia namba ya mtihani maana vyeti vinakuwa bado havijakamilika), kwa mantiki hiyo jina kwenye cheti cha chuo lazima lifanane na la kwenye vyeti vya shule(form 4 na 6).

Sasa huyo jamaa, vyeti vya shule na chuo vina utofauti wa majina kama nilivyotolea mfano hapo juu.

Ndio nikahoji kuwa, ilikuwaje chuo watumie jina la NIDA na kuzaliwa badala la kwenye vyeti vya shule ambapo taarifa zake zipo NECTA maana ukisearch namba ya mtihani inakuletea jina kamili.

Sijui umenielewa?
Nimekusoma kaka MWIFWA....bila shaka wewe ni muhenga mwenzangu [emoji3][emoji3][emoji3] maana enzi zetu walimu walikuwa wanapenda kutumia majina mawili tu ila siku hizi NECTA hawakubali majina mawili ni lazima matatu full au la kati liwe na initial.
 
Back
Top Bottom