Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Walianza kuitafuta Kama kwa dakika 10 hivi,
Kisha nd'o wakanipa hayo majibu.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Mkuu kama home ni mbali, we komaa wakutengenezee nyingine, nafasi yako huwezi kuikosa na hao PSRS aala hawawezi kufanya huo uhuni kama wanavyofikiria watu wengine humu, Maana kama wangeamua kuuza hyo nafasi mbona hata hilo jina lisingetokea kwenye mkeka na ungewafanya nn..? Kwanza usingejua kuwa umepata kazi.
So kikubwa kuwa mtulivu PSRS watakupatia tu barua yako, Wako na kazi nyingi sana pale hasa hizi na kuandaa barua.. So mistake ndogondogo kama hizi zinaweza kutoa kwa bahati mbaya.
 
Serikalini kuna bureaucracy mkuu, hio barua kuandaa tena sio tatizo...tatizo linakuja mtu wa ku sign mpaka atie hio sign tena ndo kipengele, mara utaskia kasafiri, mara hiki n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri utunze pdf ya placement yenye jina lako kwa matumizi ya mbeleni.
Kama hawaoni wa print nyingine
 
Aisee, hiyo ni kali ya mwaka.

Imekuwaje barua ikawa haionekani? umewahoji kwa undani na kukupa majibu yenye mashiko?

Itunze PDF ya placement kwa hatua zaidi za baadae...
 
Nahisi inaweza wamei-misplace, au wamempa mtu mwengine kimakosa na huyo mtu hakuikagua, au labda ile barua wameiweka kwenye bahasha yenye jina ambalo sio lako. Makosa ya kibinadamu ni kawaida hapo
Kwani ukiipewa hiyo barua si unaikagua hapo hapo au hawakuruhusu kuikagua?
 
Usiipe imani sana kuna watu wasio na nia nzuri pale vilevile ni kuomba Mungu tuu
 
Pole mno kaka, kwa kweli huko ni kitokuthamini gharama ulizotumia kufika hapo na vile vile ni kukuweka kwenye msongo wa mawazo . Kwann kama jina lilitoka kwenye pdf barua isiwepo? Maswali ni mengi sana..

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nahitaji ushahidi ili kujiridhisha juu ya hili, majibu tafadhali? ili jobless niweke cheti kabatini nirudi geita kwenye machimbo ya wachimbaji wadogo wadogo
Ipo Mwaka 2020 Kuna Nafas walitangaz Na Taasis X 500+ Kuna Mwana alirudi akiwa ameanzaa mafunzo Tena sio pekee yake walirudi kama 30 Hivi.
Utumishi waliwapitisha ila Taasisi walivyofany crosscheck ikagundulika walifany Udanganyivu kwny Vyeti vya kuzaliwa...
Umri Ilikuwa Kigezo cha Kuajiriwa Not Abive 25 Years.
Ajira zilisimamiwa na Utumishi Effectively.
Hiyo hiyo Taasisi Pia Ilitangaza Tena Mwaka Huu 1 Akakandwa na Tayar alikuwa kwny placement na Barua kutoka Asha Migiro Anayoa Mkononi.
 
Mkuu Nakushauri Kaza Moyo. Nenda Kwa Katibu Mkuu Direct.
Ingawa wanawez kukutoa Maan Kwamba Kwanini Usingesubiri Ila Jipange kwa chalenge kama hiyo.
Ukichelewa Hapo Au Wakikusahau?? Maan Hapo Mambo Ni Mengi.
Ila Kwasabab Katibu ndio alikuita kazini Force uonane nae au Hata Wasaidiz wake.
Kwa Katibu Nenda Katoe Taarifa Usiende Kulalamika.
Mkuu Naitwa Nilitwaa kazini Taasisi X, Kada X tangazo La Tarehe Hiyo lenye Kumb kumb No hiyo Nimekuja Kufata Barua Yangu Nikajulishwa Ya Kwang Haipo.
Naomba Unipe Utaratibu wa Kufata Au Ni Kwa Namna Gani Naweza Kupata Barua ili niripoti kwa Mwajiri wangu.
Ikikupendeza Andika Barua Iadress kwa katibu Mkuu,Katume Posta, Tumia Pia Emaili ya Pspr Malalamiko.
Na muone kitenge Mwenye.
 
Ushauri mzuri sana
 
Ndo mana nilisema ni kipengele, ila awe serious kwenye ufuatiliaji yeye mwenywe asitegemee sana utumishi...akiwa serious atafanikisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa kuthibitisha hili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…