Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Mkuu kama home ni mbali, we komaa wakutengenezee nyingine, nafasi yako huwezi kuikosa na hao PSRS aala hawawezi kufanya huo uhuni kama wanavyofikiria watu wengine humu, Maana kama wangeamua kuuza hyo nafasi mbona hata hilo jina lisingetokea kwenye mkeka na ungewafanya nn..? Kwanza usingejua kuwa umepata kazi.Walianza kuitafuta Kama kwa dakika 10 hivi,
Kisha nd'o wakanipa hayo majibu.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
So kikubwa kuwa mtulivu PSRS watakupatia tu barua yako, Wako na kazi nyingi sana pale hasa hizi na kuandaa barua.. So mistake ndogondogo kama hizi zinaweza kutoa kwa bahati mbaya.