Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na Halaf wakati wa usahili mwajiri lazima awepo kweny usahili kuangalia candidate atakaye kidhi vigezo ndani ya usahili..kipi ni kipi hapo
Yule jamaa katolea mfano kuwa walikataliwa kwa kughushi vyeti.

Ukiwa PSRS huwa wanakagua kwa macho tu hivyo vyeti halisi ila kukagua kama ni halisi au la huwa haiwezekani maana mamlaka inayotoa hivyo vyeti ndio inajua namna ya kubaini uhalali wa cheti.

Kweli mwajiri atakuwepo kwenye usahili wa mahojiano ila kitu ambacho huwa hawezi kukifanya kwa muda huo ni kujua ukweli wa usahihi wa vyeti vyako.

Sasa ukipita na kupelekwa kwa mwajiri, atakuhakikisha(veting) kupitia mamlaka za kutoa vyeti(NECTA, Chuo, RITA n.k), ikibainika kuna vyaraka feki basi huna chako tena.

Msingi wa vetting kabla ya kukabidhiwa barua ya kazi, naona ndio unajikita humu sana.
 
Nikisomaga comment zako mkuu huwa zina mpanglio wa hoja, zinaeleweka. Hekoo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ok psrs si wanalink na taasisi husika iwe NECTA ,TCU ,RITA ... Na ndio Maana na hata kwa chuo kuthibisha si wakituma copy ya GAMBA LAKO (OG DEGREE UNIVERSITY), si watasibisha simple
 
Ok psrs si wanalink na taasisi husika iwe NECTA ,TCU ,RITA ... Na ndio Maana na hata kwa chuo kuthibisha si wakituma copy ya GAMBA LAKO (OG DEGREE UNIVERSITY), si watasibisha simple
PSRS kazi yao kubwa ni kukanda na kupangia watu vituo vya kazi.

Kuhusu kukagua uhalali wa vyeti naona haiwahusuu maana huwa wanataka tupakie certified copies kwenye portal na tukienda kukandwa tunaenda na vyeti halisi lakini huwa hawahakiki kama ni halali au la. Wote tunajua hili, huwa wanaviangalia tu kwa macho na kuhakiki name uniformity.

Suala la kuhakiki uhalali wa vyeti linawezekana ila sio jukumu lao
 
Wanahakiki vyeti, tena kama cheti wanakua hawajakielewa fresh wanaitana kuulizana na kupata jibu la pamoja. I witnessed this!
 
Wanahakiki vyeti, tena kama cheti wanakua hawajakielewa fresh wanaitana kuulizana na kupata jibu la pamoja. I witnessed this!
Mimi kuna jamaa nilifanya nae ile tunaingia kwe oral kuhakikiwa pale pale wakamtoa cheti,,,hakikuwa sawa
Wanahakiki vyeti, tena kama cheti wanakua hawajakielewa fresh wanaitana kuulizana na kupata jibu la pamoja. I witnessed this!
Na kama vikiwa havieleweki pale pale wanakuchomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…