Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi za MDAs na LGAs ambazo hawajaitwa inamaana zimekatwa au ? kyagata Mwifwa
Kuwa mpole PAUL bae zitatoka tu zitakuwa Kama hizi za TRA Maana naamini mtakuwa wengi sana watu wengi sana
Maana mchumi-70 , watakwimu-70 na maafisa mipango - 26
Hapo lazima nyomi iwepo ya kugombania nafasi ya TGS D

Kikubwa jiandae
 
Wanahakiki vyeti, tena kama cheti wanakua hawajakielewa fresh wanaitana kuulizana na kupata jibu la pamoja. I witnessed this!
Tutoe mfano kwenye uhakiki.

HESLB huwa wanataka watu wahakiki vyeti vya kuzaliwa RITA wakati wanaomba mkopo wa Chuo.

Then, RITA watakutaka uwatumie copy inayoonesha vizuri Entry No. na wao watahakiki na wataigonga mhuhuri hiyo copy kuthibitisha kuwa ni cheti original ndio cheti sahihi

Kwa nini wao(HESLB) huwa hawaangalii tu kwa macho kama PSRS endapo hawajakielewa Cheti? Badala yake wanaelekeza watu wakacertify RITA.

Mara nyingi wanapoitana ni pale endapo cheti kikawa na majina tofauti ambapo pia huwa waangiza uwe na Affidavit ya huo mkanganyiko au Deedpoll.
 
Ndugu comment yako imenikumbusha kitu, naomba kuuliza kama HESLB wamesha toa placement Mwifwa
 
Utumish si wana akaunt yao hapa jamii forum, ukiangalia vzur majukumu ambayo wameyaorodhesha utaona waz waz kuwa wana link na vyombo vingne kama TCU, Hiv unawezaje kupata orodha ya wahitimu km hakuna link?!

Huyu niliemshuhudia halikua swala la jina waliona ni kama cheti ambacho si halisi, wajiridhisha kwa pamoja kwa kuona hadi muhuli wa moto. Achilia mbali hizo case sijui majina yamepishana
 
Ety wadau,, hv ukianya Oral interview PSRS status ni lazima ibadilikebadilike kama mnavyosema na kama ni lazima, hayo mabadiliko Huwa yanatokea baada ya muda gani..?
🙏🙏
 
Kama cheti ni fake, wakikiangalia tu wanakigundua na hawaruhusu mtu afanye usaili. Wako makini sana wale, hawaangalii tu mfanano wa majina. Nimeshashuhudia
 
Kuwa na link za taasisi zingine sio gurantee ya kujua kila kitu kuwahusu hiyo taasisi nyingine.

Basi huu mjadala tuuhitimishe kuwa, PSRS ndio wanaojua ukweli zaidi juu ya wao kuhakiki hizi nyaraka na mamlaka za ajira(waajiri) nao wanajua mambo yao wanayoyazingatia ili kutoa barua za kazi pindi wakipelekewa watumishi na PSRS.

Mimi nimejaribu kufikri jinsi nilivyoelezea, sasa naweka kalamu chini.

Tundelee kupambana na mengine(kusubiri call, advertisement, placement)
 
Jamaa yako wizy kapotelea wapi? Toka placement yake hakuna mrejesho wowote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ety wadau,, hv ukianya Oral interview PSRS status ni lazima ibadilikebadilike kama mnavyosema na kama ni lazima, hayo mabadiliko Huwa yanatokea baada ya muda gani..?
[emoji120][emoji120]
Mkandaji huyu hapa na atakuwa ndiye mzee wa Flash.

Majibu yote ya status lazima atakuwa nayo, sasa tunampataje?

Alilamba Asali ya kukanda kwenye placement ya April 9, 2022
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…